Kaniahidi na kujiapiza kuwa nikimuacha anajiua

Kaniahidi na kujiapiza kuwa nikimuacha anajiua

Best Daddy

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2019
Posts
950
Reaction score
1,672
Good morning, Members!

Naheshimu sana wakati wenu na bila kuwachosha niwatakie kila lenye kheri katika utafutaji wenu.

Story inaanza hivi, miaka minne iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja ambaye tulitokea kupendana sana, bila kuongezea kuwa alionesha kunipenda sana tena sana basi hii story itakua ni batili.

Na kama kawaida kwa kuwa tulipendana sana, tulishindwa kuyaficha ficha mapenzi yetu kama begi la bangi, basi kila mtu aliyejua tuna-date ali appreciate sana penzi letu, kila mmoja wetu alikuwa anapongezwa kuwa amepata mtu sahihi hasa na watu wazima wenye miaka zaidi ya 40.

Ila kwa kuwa sisi ni binadamu, tulianza kutofautiana, Ila hata pale ambapo mimi nilikuwa na kosa. Huyu mwanamke hukimbilia kuomba msamaha ili hizo tofauti zetu ziishe.

Basi bwana maisha yakaendelea. Pamoja na kuishi vizuri na vijana wa mtaani basi mara nyingi walikuwa wanajaribu kupindua meza ila japo wapate ile love ambayo naipata wakiamini labda huyo mwanamke ni exceptional, kwa picha iliyoonekana hao vijana hawakufanikiwa.

Sasa, baada ya mwaka kupita. Kuna wakati niligundua yupo na mahusiano na mzee mmoja, alikiri kuwa ni kweli alikuwa na maahusiano na huyo mzee hata kabla yangu ila mzee ndio aachiki. Nikaona isiwe case, Baada ya kuongea nae sana nikamwambia"
Huyo mzee si aachiki. Endelea kuwa nae, its Over". Aliniomba msamaha sana, ila iliposhindikana alirudi kwao na kuamua kunywa SUMU (1st attempt), japo aliokolewa mapema.

Baadae ulitokea ugomvi. Na tulipofika hatua ya kuachana(Basi alikunywa SUMU) akitaka kufa, akaokolewa mapema.

Sasa...kuna ugomvi umetokea, Yeye, ndugu zake na marafiki zake wanaomba yaishe, lakini kitu kibaya mie kwangu sipendi sana kutoa msamaha sababu ya kumuonea huruma.

Na round hii amesema nikimuacha, hakuna wa kumuokoa tena, ATAJIUA. Na huyu mtu hashindwi kufanya hiki kitendo tena. Yaani sio kusema ananitishia ili nisimuache, lakini ananipa taarifa ya kile alichoamua kufanya.

Japo, ni mtaalamu wa kusaidia watu kisaikolojia lakini kwa huyu mtu linapokuja suala la mapenzi yake kwangu nimeshindwa kabisa, hata sijui nimsaidiaje?

***********
N.B: Huyu mwanamke anakila kitu, ametoka familia ya watu wenye pesa, ana maisha mazuri, na kwangu anataka mimi, just only me. japo, natimiza majukumu yangu kama mwanaume
 
Kama kweli anakupenda aachane na huyo babu kwanza.

Huyo roho ya mauti inamsumbua inawezekana alishakufa tayar kwenye ulimwengu wa roho so anataka akamilishie kifo cha mwili kwako halafu zigo akutupie wewe kua ndio msababishaji wakati alikua kashakufa long time.

Mkimbie huyo mwanamke
 
Good morning, Members!

Naheshimu sana wakati wenu na bila kuwachosha......Niwatakie kila lenye kheri katika utafutaji wenu.

Story inaanza hivi.......Miaka minne iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja ambaye tulitokea kupendana sana, bila kuongezea kuwa alionesha kunipenda sana tena sana basi hii story itakua ni batili.

Na kama kawaida kwa kuwa tulipendana sana...tulishindwa kuyaficha ficha mapenzi yetu kama begi la bangi, basi kila mtu aliyejua tuna-date ali appreciate sana penzi letu, kila mmoja wetu alikuwa anapongezwa kuwa amepata mtu sahihi hasa na watu wazima wenye miaka zaidi ya 40.

Ila kwa kuwa sisi ni binadamu, tulianza kutofautiana, Ila hata pale ambapo mimi nilikuwa na kosa....huyu mwanamke hukimbilia kuomba msamaha ili hizo tofauti zetu ziishe.

Basi bwana maisha yakaendelea....Pamoja na kuishi vizuri na vijana wa mtaani basi mara nyingi walikuwa wanajaribu kupindua meza ila japo wapate ile love ambayo naipata wakiamini labda huyo mwanamke ni exceptional, kwa picha iliyoonekana hao vijana hawakufanikiwa.

Sasa, Baada ya mwaka kupita....Kuna wakati niligundua yupo na mahusiano na mzee mmoja....Alikiri kuwa ni kweli alikuwa na maahusiano na huyo mzee hata kabla yangu ila mzee ndio aachiki....Nikaona isiwe case, Baada ya kuongea nae sana nikamwambia..."
Huyo mzee si aachiki...Endelea kuwa nae, its Over". Aliniomba msamaha sana, ila iliposhindikana alirudi kwao na kuamua kunywa SUMU(1st attempt)....Japo aliokolewa mapema.

Baadae ulitokea ugomvi...Na tulipofika hatua ya kuachana(Basi alikunywa SUMU) akitaka kufa...akaokolewa mapema.

Sasa...kuna ugomvi umetokea, Yeye, ndugu zake na marafiki zake wanaomba yaishe, lakini kitu kibaya mie kwangu sipendi sana kutoa msamaha sababu ya kumuonea huruma.

Na round hii amesema nikimuacha.....hakuna wa kumuokoa tena, ATAJIUA. Na huyu mtu hashindwi kufanya hiki kitendo tena. Yaani sio kusema ananitishia ili nisimuache......lakini ananipa taarifa ya kile alichoamua kufanya.

Japo, ni mtaalamu wa kusaidia watu kisaikolojia lakini kwa huyu mtu....linapokuja swala la mapenzi yake kwangu nimeshindwa kabisa, hata sijui nimsaidiaje?

***********
N.B, Huyu mwanamke anakila kitu, ametoka familia ya watu wenye pesa, ana maisha mazuri, na kwangu anataka MIMi, Just only me...Japo, natimiza majukumu yangu kama mwanaume
Acha ujinga weye anakuoenda vipi wakati alikuwa anagegwdwa nje huko🤣🤣🤣🤣

Alafu umeonyesha udhaifu mkubwa sana. Mwanamke akishacheat na kukubali huyo sio wakurudiana nae bro. Wee unaachana nae basi ajinyinbe asijinyonhe hayo ni maamuzi yake mwenye lakini mwanaume wa kweli kamwe hawezi kumrudia mwanamke ambaye amekiri kucheat
 
Personally siwezi kudate na mtu anayetaka kujiua. Kama unaweza kukatisha maisha yako mwenyewe unashindwa nini kuniua nikukuudhi siku moja?
Hao watu wenye suicidal ideas wanatakiwa kuwa Mirembe wanatibiwa sio kuwa kwenye mahusiano.. siku utatolewa roho wewe halafu utakuja kutuma mrejesho kutoka huko afterlife.
 
Eti "mzee haachiki" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We tangu lini uliona pesa inaachika?

Wanasema mtu anaejaribu kujiua akaokolewa ipo siku tu atafanikiwa, sijui huwa ni roho ya mauti inawaandama!
 
Personally siwezi kudate na mtu anayetaka kujiua. Kama unaweza kukatisha maisha yako mwenyewe unashindwa nini kuniua nikukuudhi siku moja?
Hao watu wenye suicidal ideas wanatakiwa kuwa Mirembe wanatibiwa sio kuwa kwenye mahusiano.. siku utatolewa roho wewe halafu utakuja kutuma mrejesho kutoka huko afterlife.
🤣🤣🤣🤣 itakua vizuri tukipata huo mrejesho tujue kama petroli imepanda pia huko motoni
 
Good morning, Members!

Naheshimu sana wakati wenu na bila kuwachosha......Niwatakie kila lenye kheri katika utafutaji wenu.

Story inaanza hivi.......Miaka minne iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja ambaye tulitokea kupendana sana, bila kuongezea kuwa alionesha kunipenda sana tena sana basi hii story itakua ni batili.

Na kama kawaida kwa kuwa tulipendana sana...tulishindwa kuyaficha ficha mapenzi yetu kama begi la bangi, basi kila mtu aliyejua tuna-date ali appreciate sana penzi letu, kila mmoja wetu alikuwa anapongezwa kuwa amepata mtu sahihi hasa na watu wazima wenye miaka zaidi ya 40.

Ila kwa kuwa sisi ni binadamu, tulianza kutofautiana, Ila hata pale ambapo mimi nilikuwa na kosa....huyu mwanamke hukimbilia kuomba msamaha ili hizo tofauti zetu ziishe.

Basi bwana maisha yakaendelea....Pamoja na kuishi vizuri na vijana wa mtaani basi mara nyingi walikuwa wanajaribu kupindua meza ila japo wapate ile love ambayo naipata wakiamini labda huyo mwanamke ni exceptional, kwa picha iliyoonekana hao vijana hawakufanikiwa.

Sasa, Baada ya mwaka kupita....Kuna wakati niligundua yupo na mahusiano na mzee mmoja....Alikiri kuwa ni kweli alikuwa na maahusiano na huyo mzee hata kabla yangu ila mzee ndio aachiki....Nikaona isiwe case, Baada ya kuongea nae sana nikamwambia..."
Huyo mzee si aachiki...Endelea kuwa nae, its Over". Aliniomba msamaha sana, ila iliposhindikana alirudi kwao na kuamua kunywa SUMU(1st attempt)....Japo aliokolewa mapema.

Baadae ulitokea ugomvi...Na tulipofika hatua ya kuachana(Basi alikunywa SUMU) akitaka kufa...akaokolewa mapema.

Sasa...kuna ugomvi umetokea, Yeye, ndugu zake na marafiki zake wanaomba yaishe, lakini kitu kibaya mie kwangu sipendi sana kutoa msamaha sababu ya kumuonea huruma.

Na round hii amesema nikimuacha.....hakuna wa kumuokoa tena, ATAJIUA. Na huyu mtu hashindwi kufanya hiki kitendo tena. Yaani sio kusema ananitishia ili nisimuache......lakini ananipa taarifa ya kile alichoamua kufanya.

Japo, ni mtaalamu wa kusaidia watu kisaikolojia lakini kwa huyu mtu....linapokuja swala la mapenzi yake kwangu nimeshindwa kabisa, hata sijui nimsaidiaje?

***********
N.B, Huyu mwanamke anakila kitu, ametoka familia ya watu wenye pesa, ana maisha mazuri, na kwangu anataka MIMi, Just only me...Japo, natimiza majukumu yangu kama mwanaume
Inaamana kwa mzee hafati pesa.. wewe umeshindwa kumkaza vizuri Kama huyo mzee.. au sijakuelewa mkuu?[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Vipi huyo mzee wameshaachana??

Kama ana kila kitu kama pesa na kwao pesa ipoo na wewe unamuhudumia kila kitu ..... Unahisi kwanini yupo na huyo mzee? Au mzee ndio mkunaji mzuriiii?? Na wewe umependewa kuuzia sura

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke anatumia mbinu ya machozi,kudeka,kususa,kununa na kukaa kimya kumtawala mwanaume

Eti ananipenda!!!we mk*ndu nini

Anakupenda angeenda kutembea na wazee

Nilivyo nachukia usaliti mimi ningemuacha akafe mbele huko tena makusudi namuacha ili akafe km anataka

Mwanamke km anaweza kukusaliti basi anaweza kukuua, trust me.

Binafsi mwanamke akinisaliti naamini anaweza kuniua mda wowote sasa kwanini asife??

Naheshimu sana sana sana mwanamke anayeniambia tuachane nimepata mtu mwingine kuliko anayeishi na mimi huku ananifanyia unafiki.

Katika ma ex wote ni ex mmoja tu ambaye akiwa na shida hadi leo naweza msaidia na huyo ni kwa sababu aliniambia live tunagombana sana naomba tuachane tu.simple and straight
 
***********
N.B, Huyu mwanamke anakila kitu, ametoka familia ya watu wenye pesa, ana maisha mazuri, na kwangu anataka MIMi, Just only me...Japo, natimiza majukumu yangu kama mwanaume
Punguza ujinga, asingekua na mahusiano na huyo mzee mmoja...
 
Katika kauli ambazo wanawake hawatanii ni hiyo ya kujiua. Yalitaka kunikuta makubwa.
 
Back
Top Bottom