Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Good morning, Members!
Naheshimu sana wakati wenu na bila kuwachosha niwatakie kila lenye kheri katika utafutaji wenu.
Story inaanza hivi, miaka minne iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja ambaye tulitokea kupendana sana, bila kuongezea kuwa alionesha kunipenda sana tena sana basi hii story itakua ni batili.
Na kama kawaida kwa kuwa tulipendana sana, tulishindwa kuyaficha ficha mapenzi yetu kama begi la bangi, basi kila mtu aliyejua tuna-date ali appreciate sana penzi letu, kila mmoja wetu alikuwa anapongezwa kuwa amepata mtu sahihi hasa na watu wazima wenye miaka zaidi ya 40.
Ila kwa kuwa sisi ni binadamu, tulianza kutofautiana, Ila hata pale ambapo mimi nilikuwa na kosa. Huyu mwanamke hukimbilia kuomba msamaha ili hizo tofauti zetu ziishe.
Basi bwana maisha yakaendelea. Pamoja na kuishi vizuri na vijana wa mtaani basi mara nyingi walikuwa wanajaribu kupindua meza ila japo wapate ile love ambayo naipata wakiamini labda huyo mwanamke ni exceptional, kwa picha iliyoonekana hao vijana hawakufanikiwa.
Sasa, baada ya mwaka kupita. Kuna wakati niligundua yupo na mahusiano na mzee mmoja, alikiri kuwa ni kweli alikuwa na maahusiano na huyo mzee hata kabla yangu ila mzee ndio aachiki. Nikaona isiwe case, Baada ya kuongea nae sana nikamwambia"
Huyo mzee si aachiki. Endelea kuwa nae, its Over". Aliniomba msamaha sana, ila iliposhindikana alirudi kwao na kuamua kunywa SUMU (1st attempt), japo aliokolewa mapema.
Baadae ulitokea ugomvi. Na tulipofika hatua ya kuachana(Basi alikunywa SUMU) akitaka kufa, akaokolewa mapema.
Sasa...kuna ugomvi umetokea, Yeye, ndugu zake na marafiki zake wanaomba yaishe, lakini kitu kibaya mie kwangu sipendi sana kutoa msamaha sababu ya kumuonea huruma.
Na round hii amesema nikimuacha, hakuna wa kumuokoa tena, ATAJIUA. Na huyu mtu hashindwi kufanya hiki kitendo tena. Yaani sio kusema ananitishia ili nisimuache, lakini ananipa taarifa ya kile alichoamua kufanya.
Japo, ni mtaalamu wa kusaidia watu kisaikolojia lakini kwa huyu mtu linapokuja suala la mapenzi yake kwangu nimeshindwa kabisa, hata sijui nimsaidiaje?
***********
N.B: Huyu mwanamke anakila kitu, ametoka familia ya watu wenye pesa, ana maisha mazuri, na kwangu anataka mimi, just only me. japo, natimiza majukumu yangu kama mwanaume