Mivyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 275
- 533
Kaka Angu,nakusihi kwa Jina la Bwana Wetu Yesu Kristo! Naomba utulie na Familia YAKO.
Unapoona Haukamatwi kwa Yale unayoyafanya,ujue Mungu anakupa muda wa Kuacha na kujirekebisha. Naomba ubadilike,usiichezee Neema aliyokupa Mungu.
Yale unayoyafanya c sahihi kabisa!! Unawachanganya mtu na dada ake,halafu haujisikii Hatia??
Wakati Mwingine unaona Sifa unavyosimulia na wengine wanakusapoti,lakini jua unacreate Laana na mikosi juu Ya Uzao wako pasipo kujua! Athari zinaweza zisikutokee wewe,lakini zikatokea Ndani ya Kizazi chako kilichopo au kijacho. Nakusihi Ubadilike Mkuu,Roho Mtakatifu aachilie nguvu ya Mabadiliko Ndani yako