Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Serikali ya awamu ya 4 ilijaribu kulitikisa KANISA na kulitaka liwe linapeleka nyaraka zake serikalini ili zipitiwe kabla ya kuzisoma kwa waumini wake. Nakumbuka kupitia kwa Cardinal Pengo KANISA liliwajibu kwamba ni vema waache kuandika nyaraka kuliko kuandika kitu ambacho kimeandaliwa na serikali kwa manufaa ya watawala.
Sasa naona Kuna Kila dalili za kuanzisha chokochoko dhidi ya KANISA KATOLIKI. Hao ambao wanaotumia vyeo vyao kulijibu KANISA KATOLIKI ni vema wakafahamu kwamba Lile baraza la TEC limejaa wasome, wenye uelewa mpana kwenye Mambo ya kidini na kidunia. Huyo ambaye amejitoa kufahamu na kuanzia kulishambulia KANISA ni vema aakafaham kwamba siku zake kwenye nafasi aliyonayo zinahesabiwa.