Pengo aliongoza.lin Kanisa Katoliki tanzania mkuu naomba unikumbusheKanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Pengo rafiki yake Bashite?Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Yeye anafikiri Pengo ndio alikuwa Malasusa wa sasa. Pengo was just a Bishop as he is now emeritusPengo aliongoza.lin Kanisa Katoliki tanzania mkuu naomba unikumbushe
Nilikuwa sijazaliwa labda. Kwamba Kadinali Pengo aliwahi kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania?Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Kwani we humjui pengo?Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
More than kiongoziNilikuwa sijazaliwa labda. Kwamba Kadinali Pengo aliwahi kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania?
Na atashambuliwa kweli mpaka akili yake ikae sawa. Mlitaka kumtikisa mama kisa mwanamke etiHivi waliomshambulia Kitima , walishapatikana?
Kumbe mlitumwa kumshambulia, mlikua wangapi wewe na wenzako , na mlilipwa buku 7 ile ile au dau lilipanda?Na atashambuliwa kweli mpaka akili yake ikae sawa
Kila mtu ana mama yake , mama yupi huyu unamzungumzia hapa , maana hili sio jukwaa la kutambiana kuhusu mama zetu.. Mlitaka kumtikisa mama kisa mwanamke eti
shida watanzania wengi ni maLOFAKanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Lofa ni ruwaichshida watanzania wengi ni maLOFA
ALikuwa na hekima mingi sana. Hatatokea kama PengoKwani pengo ndo alikuwa Rais wa Maaskofu?