Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Ccm wanachukua machawa hata hawana akili timamu, sijui huyo anayewapa usajiri akili zake zipojeKanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Ficha ujinga wako hata kidogo. Bora chawa Lucas mwashambaALikuwa na hekima mingi sana. Hatatokea kama Pengo
Kwa jpm mbona hamkulalamika alifikia mpaka kuwashut ridasi aakina lisu hadharani na akawakimbiza akina lema nje ya nchi na akina mbowe. Ngoja awanyooshe mlifikia hatua ya kumdharauTatizo ni muuaji kutegemea dini imtetee, kaua watanzania wengi kuliko watangulizi wake, kateka watanzania na kunywa damu zao kuliko mtu yeyote katika nchi hii, ni mtu bogus anae toa maamuzi usiku kwa kujificha, Samia ni serial killer , hakuna binadamu yeyote hapa Africa Mashariki anaweza kulinganishwa na Samia, pengine Idd Amin.
Hii yote tuliwaambia mapema huyu ni form 4 failure hawezi kumlazimisha, tunarudia kuwashauri tena kwa muuaji mnapoteza muda, hata military mashehe dunia nzima waje wakae nae ni kazi bure.
Rais unae jitambua huwezi kutumia dini eti ikutetete, just do a right thing.
Mtaunda tume na tume, vitu ni Rahisi sana, na ni simple, watanzania wanahitaji haki zao za msingi.
Kuna boya lingine nime lisikia kule linadai eti polisi wafanyiwe reforms , a real reforms sio polisi tu bali ni ccm kujitenga na serikali, ccm kuheshimu taasisi za kiserilali, kwani pole pole alitekwa kwa maslahi ya kipolisi? Tindu lissu amewekwa Gerezani kwa takwa la polisi? Ni takwa la ccm , kumluzisha muuaji, kwahiyo hata ukibadili vipi viongozi wa ccm bado hali iko pale pale, hivyo wanaodai katiba na tume huru wako billions miles ahead of ccm.
Vilaza hamkustahili kabisa kupewa madaraka makubwa. Ona sasa mnavyotapatapa! Kila anayewaambia ukweli mnamchukulia kama ni adui yenu, na anayewasifia hata kwenye mambo ya kijinga mnamuona ndiye rafiki.Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Genge la Abdul, haliwezi kamatwa!Hivi waliomshambulia Kitima , walishapatikana?View attachment 3521500
Hakuna Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania.Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Hujui kitu wewe wapo baadhi ya maaskofu wakikoliki mbali ya kusoma teolojia n wabobezi kwny fani nyingine mbalimbali.Taasisi za dini zinabidi kuwa na wasomi , ELIMU ya Theology haitoshi kumfanya MTU Kuelewa mambo.
Hujui kitu wewe wapo baadhi ya maaskofu wakikoliki mbali ya kusoma teolojia n wabobezi kwny fani nyingine mbalimbali.
Usiwe livivu nendq kagugo elimu ya askofu wa katoliki Njombe
Kila Askofu anamamlaka kamili ndani ya Jimbo lake kama mchungaji, mwalimu na kiongozi mkuu, hata Rais wa TEC hana Mamlaka juu yake. Mamlaka ya juu ni Roman Pontif tu yaani Papa.Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Kama mama yako ni huyo lazima akili yako ifyatuke.Na atashambuliwa kweli mpaka akili yake ikae sawa. Mlitaka kumtikisa mama kisa mwanamke eti
Mtawazidi kwa usomi wa kufuga majiniInateggemea ni usomi gani. Huu wa theology ndo usomi gani ambapo huajiriwi popote
Hujui chochote juu ya theology.Taasisi za dini zinabidi kuwa na wasomi , ELIMU ya Theology haitoshi kumfanya MTU Kuelewa mambo.
Sio marofa tu wamejaza kamasi vichwaniWEWE NA MAMA YAKO WOTE MALOFA
Hujui chochote juu ya theology.
Na Padri ili apate degree ya theology kwanza lazima awe na degree yoyote baada ya form six, afu ya falsafa ndio anaruhusiwa asome Theology.
Ndio hiyo inaitwa "faith and reason" kuepuka ulofa wa Imani
Hoja yako ni nini?Sasa MTU mwenye akili timamu anaweza akakubali kuwa padri ili asioe na kuwa na watoto
Ndo maana mapadri 99% wamezaa watoto kimya kimya
Hoja yako ni nini?
Ni Elimu ya mapadri
Au priestly celibacy?
Kama wamezaa na wewe ukatelekezwa peleka ushahidi Kwa Askofu wake Sheria za Kanisa zitafanya kazi. Kama ni umbea baki nao ila Kanisa linazidi songa mbele halitikisiki.