Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

Sasa kwa taarifa hii, wale wote waliokuwa wakitetea na kukanusha kwa kubana pua zao kuwa Rwegoshora si padre wa kanisa Katoliki, watazificha wapi sura zao, au wataingia tu mitini kama ilivyo desturi kwa watu waongo na wazandiki?
Kifupi uongo huwa hauna maisha na haudumu

Uongo kifupi hauna maisha ukweli ndio hudumu milele
 
Acha ujinga wewe, binadamu aweza kubadilika muda wowote. Yuda alikuwa mtu mwema lakini alibadilika na kumsaliti Yesu, Shetani alikuwa malaika mkuu, lakini alikengeuka. Wewe unaendeshwa na chuki tu kwa kanisa katoliki na si vinginevyo.
 
Hii ndiyo damage control, au siyo???
 
Leo yapo kwenu mnayajua haya ila kutwa kucha matusi juu ya uislam hayaishi
Waswahili tuna msemo "Mungu hamfichi mnafiq"
 
Sasa kwa taarifa hii, wale wote waliokuwa wakitetea na kukanusha kwa kubana pua zao kuwa Rwegoshora si padre wa kanisa Katoliki, watazificha wapi sura zao, au wataingia tu mitini kama ilivyo desturi kwa watu waongo na wazandiki?
Wengi huamini kuwa mtu akisimama ktk mimbari basi anakingiwa dhambi. Ujinga mtupu.
 
Kuna shida gani kwa hawa mapadri wa sasa? Mbona wengine wanaishi kama vile hawajui wanachofanya? Liberation theology goes beyond what we think. It is the same kind of learning, the current leadership in the church is using. Kuruhusu hata yasiyoruhusiwa.
Ndio maana tunaona kashfa zimeenea kila kona ndani ya kanisa. Kila dalili inaonyesha kanisa limejaa uozo ndani na inabidi lianze kujitafakari na kujisafisha. Targeting traditionalists don't make the church holy. Instead, kashfa ndio zinaongezeka
 
Hata Mungu hautambui mfumo wa ukomunist ukomunist ni ushetani.
Mfumo sahihi wa maisha ambao Mungu anaeubariki ni ubepari ( fanya kazi)
 
Hii ng'ombe nyingine inataka kuleta utetezi kwamba huyo padri wenu hakua sawa kiakiri. Huyo anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo na yeye ndiye sponsor wa zoez la mauaji.
 
Hata Mungu hautambui mfumo wa ukomunist ukomunist ni ushetani.
Mfumo sahihi wa maisha ambao Mungu anaeubariki ni ubepari ( fanya kazi)

Hawa jamaa wakiongozwa na Society of Jesus Priests, wanaufagilia sana mfumo wa kuunganisha ukristu na makandokando mengine. Ndio maana unaoana wanasema hata ushoga ni sawa. Hakuna jehanam. Mara kanisa liko nyumba zaidi ya miaka 2000

View: https://www.youtube.com/watch?v=4xCCGM8_3jo
 
dah jamaa ana uso wa kiungwana kumbe petroli.
bora waislamu shehe anakula za uso. huku kwingine wanafanywa kama watakatifu. ujinga mtupu. dini ni old mission.
 
Hii ng'ombe nyingine inataka kuleta utetezi kwamba huyo padri wenu hakua sawa kiakiri. Huyo anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo na yeye ndiye sponsor wa zoez la mauaji.

Ushahukumu. Kama vile dini nyingine waumini wake hawana mauzauza. Juzi kati kuna mwalimu aliwafumua malinda watoto zaidi ya 15. Hilo ni tatizo la dini au la huyo mwalimu?
Nijuavyo, kanisa halijamtuma huyu Padri kufanya hilo jambo. Ninachoweza kushangaa ni imekuwaje mpaka mtu wa aina hiyo akawa Padri????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…