Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,591
Reaction score
14,369
Habari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa

FB_IMG_1759148644362.jpg
FB_IMG_1759148653919.jpg

FB_IMG_1759148659439.jpg

FB_IMG_1759148664300.jpg

Kanisa Katoliki latoa ufafanuzi: Kanisa Katoliki Dar: Warsha yetu haifanyiki Oktoba 29 itafanyika Novemba 29, 2025
 
Ukimsikiliza Mkuu wa TEC , ndo utaelewa alikusudia nini..."kabla ya kwenda huko tathimini kidogo dhamiri yako "

Hapo ndo alipigilia msumari wa mwisho.

Uchaguzi mkuu kwa Kanisa ni Kama haupo , watu waendelee na ratiba zingine.
 
Kuna mda naonaga bora kuzaliwa sehemu kama kolea china haya mambo hayapo dini au dhehebu lipo kama genge fulani la watu ambao wapo kwa maslahi yao binafsi

siyo kweli na labda hauko well informed, korean Church ni kubwa tu, china ni communist hivyo kama unafikiri communism ni bora klk Christianity then haulewi communism ni nini, communist wanakula watoto wadogo …
 
Back
Top Bottom