Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Mimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa

ik

Umejichanganya hapa. Wao hawafanyi siasa. Wanakataa kufanya siasa. Na wao sidhani kama wanakulazimisha uwe Mkatoliki. Lakini pia hawakukatazi kupiga kura. Ila hawataki waunganishwe na vyama.
 
Kuna mda naonaga bora kuzaliwa sehemu kama kolea china haya mambo hayapo dini au dhehebu lipo kama genge fulani la watu ambao wapo kwa maslahi yao binafsi
China hamna katoliki tulia jipange unalisha matango pori China mtu Fisadi ananyongwa anafungwa maisha nyie Tanzania mnafanya nini China kuna mengi ya kuiga
 
Nakuapia Kesho ma Sheikh ubwabwa watakuja na tamko Amin!
20250927_080955.jpg
 
Back
Top Bottom