Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Huoni ni dalili ya wazi ya kuleta mgogoro wa moja kwa moja wa kidini?
Mgogoro tayari upo ndo maana ya hizi reactions.
Jamii yenye watu wanaotekwa na kupotea kama sindano ipoteavyo kwenye majani, ni jamii iliyo kati mgogoro wa hatari.
Hii ni passive resistance, ni nzuri sana, shime kwa madhehebu mengine yafuate njia hii.
 
Walipofungia makanisa ya Gwajiboy haukuona kama walikuwa wanatengeneza mgogoro wa kidini? Are you so blind that you couldn't see that?
Hivi vitu unavyoona ni repercussions za yafanywayo na dola, unavoidable aftermath.
Mgogoro tayari upo ndo maana ya hizi reactions.
Jamii yenye watu wanaotekwa na kupotea kama sindano ipoteavyo kwenye majani, ni jamii iliyo kati mgogoro wa hatari.
Hii ni passive resistance, ni nzuri sana, shime kwa madhehebu mengine yafuate njia hii.

Naunga mkono resistance,
Japo natilia mashaka resistance kuongozwa na taasisi za kidini ni kudizi kuongeza matatizo ambayo tutatakiwa kuyatatua tena baadae
 
HIlooo...hata msiposhiriki, CCM Itashinda tu
 

Attachments

  • Screenshot_20250913_214359_TikTok.jpg
    Screenshot_20250913_214359_TikTok.jpg
    83.9 KB · Views: 12
Ikiwa hii habari ni ya kweli basi serikali iuone unafiki wa madhehebu ya dini na ichukue hatua. Hawa ndio waliiomba serikali kubadiki mfumo wa uchaguzi kufanyika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili sababu zinaingiliana na siku zao muhimu za ibada. Serikali imesikia maombi yao umeamua kupanga Jumatano. Leo wao wanageuka na ibada zao wanapanga siku ya Uchaguzi.
 
Ikiwa hii habari ni ya kweli basi serikali iuone unafiki wa madhehebu ya dini na ichukue hatua. Hawa ndio waliiomba Tume ya Uchaguzi kubadiki mfumo wa uchaguzi kufanyika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili sababu zinaingiliana na siku zao muhimu za ibada. Tume imewasikia maombi yao imeamua kupanga Jumatano. Leo wao wanageuka na ibada zao wanapanga siku ya Uchaguzi.
 
Naunga mkono resistance,
Japo natilia mashaka resistance kuongozwa na taasisi za kidini ni kudizi kuongeza matatizo ambayo tutatakiwa kuyatatua tena baadae
Yeyote aongoze mradi ni mtanzania. Wewe unataka nani aongoze wakati wengine wote wanawindwa kutekwa , kupotezwa na kubambikiwa kesi????.
Pamoja na hayo hakuna aliye salama.
.........kamuulize Kitima.
 
Ikiwa hii habari ni ya kweli basi serikali iuone unafiki wa madhehebu ya dini na ichukue hatua. Hawa ndio waliiomba serikali kubadiki mfumo wa uchaguzi kufanyika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili sababu zinaingiliana na siku zao muhimu za ibada. Serikali imesikia maombi yao umeamua kupanga Jumatano. Leo wao wanageuka na ibada zao wanapanga siku ya Uchaguzi.
Ni kongamano elewa.
 
Naunga mkono resistance,
Japo natilia mashaka resistance kuongozwa na taasisi za kidini ni kudizi kuongeza matatizo ambayo tutatakiwa kuyatatua tena baadae
Resistance iongozwe na Nani ikiwa taasisi za kiraia zimenunuliwa?

Vyama vyote vimenunuliwa? Jwtz na TISS +police vimenunuliwa?


Bunge, mahakama vimenunuliwa na mashehe na wachungaji wamenunuliwa?!

Chadema hawawezi kuendesha resistance hata Kongo imeokolewa kutoka kwa muhuni kabila kupitia Catholic.

Hakuna Cha udini kwenye kupigania mabadiliko
 
Back
Top Bottom