let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
umezuiwa kwenda kupiga kura?Ikiwa hii habari ni ya kweli basi serikali iuone unafiki wa madhehebu ya dini na ichukue hatua. Hawa ndio waliiomba serikali kubadiki mfumo wa uchaguzi kufanyika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili sababu zinaingiliana na siku zao muhimu za ibada. Serikali imesikia maombi yao umeamua kupanga Jumatano. Leo wao wanageuka na ibada zao wanapanga siku ya Uchaguzi.