Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Kanisa limefanya la maana, tunaliomba kanisa liwe mlinzi wa haki za raia, maana taasisi zote zilizobaki zinatumika kwa maslahi ya kisiasa ya watu wachache.
Mkatolic wa wapi anaesupotigi lichama la wauaji aisee .Mimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa
ik
Sawa bhnaUende ukale keki ya taifa ya Korea kwa kuuza mashuka na kufundisha kupika wakorea au sio tajiri mashuka? 😂😂😂
Magufuli hakuwai kuteka kanisa lilisema nini?Mkatolic wa wapi anaesupotigi lichama la wauaji aisee .
Mkuu hebu kwa pamoja tuseme kimeumana 🤣🤣
Wangeandaa Tanzania nzimaHabari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa
View attachment 3480827View attachment 3480828
View attachment 3480829View attachment 3480830
Mimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa
ikmkatori
Mkatoriki ndio nini? Wewe ni mamluki sio Mkatoliki.Mimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa
ik
Acha propaganda za kitoto, hizo dini zenu za wazungu Na waarabu mnaweza kuwafikia wachina kwa level ya Maadili?, hizo dini zenu sindio zimejaa washirikina, wezi na mashoga ambapo kwa nchi zisizo na hizi TAKATAKA zenu huwezi kukuta huu ushenzi.siyo kweli na labda hauko well informed, korean Church ni kubwa tu, china ni communist hivyo kama unafikiri communism ni bora klk Christianity then haulewi communism ni nini, communist wanakula watoto wadogo …
Kwani kushiriki uchaguzi ni lazima??Kwa sheria ipi?Ikiwa hii habari ni ya kweli basi serikali iuone unafiki wa madhehebu ya dini na ichukue hatua. Hawa ndio waliiomba serikali kubadiki mfumo wa uchaguzi kufanyika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili sababu zinaingiliana na siku zao muhimu za ibada. Serikali imesikia maombi yao umeamua kupanga Jumatano. Leo wao wanageuka na ibada zao wanapanga siku ya Uchaguzi.
kwani akishinda sisi tutakufa fala nini!Na maandamano hamshiriki? Uchaguz hata msiposhiriki haina shida samia atashinda tu
Wewe jamaa KILAZA sana. Kuna aliyezuiwa kupiga kura? Limtokallo mtu ndio analoliwazaShauri yenu, tutapiga tusiokuwa wakatoliki mamamae na ikifika zamu ya mkatoliki nasi tutaendelea na shughuli zetu. Uzuri mmoja ni kuwa kamwe hila na chuki zenu zitadunda tu katika Nia yenu ovu ya kuligawa taifa hili.........na ikizidi saaaaana basi fresh, tutaoneshana maana tumekuwa wastaarabu na waungwana kwa muda mrefu sana. Munamchukia mtu sababu ya dini yake tu, kweli?!!!!!!!
Fake kongamano litakuwa Novemba na wala si Octoba.Habari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa
View attachment 3480827View attachment 3480828
View attachment 3480829View attachment 3480830
Ukimsikiliza Mkuu wa TEC , ndo utaelewa alikusudia nini..."kabla ya kwenda huko tathimini kidogo dhamiri yako "
Hapo ndo alipigilia msumari wa mwisho.
Uchaguzi mkuu kwa Kanisa ni Kama haupo , watu waendelee na ratiba zingine.
JamiiCheckHabari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa
View attachment 3480827View attachment 3480828
View attachment 3480829View attachment 3480830
I kuna kongamano basi movie imefika patamuKwenye makongamano huwa kuna maandamano, huo ni mtego maana 29/10 ni uchaguzi alafu pia ni maandamano ya amani kudai haki na utawala bora kwa wote sio familia za viongozi.
lile ni kanisa la kirumi mjuba, usajili wake ni wa kiduniaKweli kanisa Katoliki ni Baba lao.
Walifungie kama walivyofanya kwa Gwajima.