Abuu Ibraahiym Sibomana
Senior Member
- Jun 1, 2025
- 130
- 143
Wewe mbona hujatekwa?! Au ndio umepotelea huku jamii forums ndugu zako wanakutafuta hawajui kuwa umepotelea jf na kuandika utumbo?!Mgogoro tayari upo ndo maana ya hizi reactions.
Jamii yenye watu wanaotekwa na kupotea kama sindano ipoteavyo kwenye majani, ni jamii iliyo kati mgogoro wa hatari.
Hii ni passive resistance, ni nzuri sana, shime kwa madhehebu mengine yafuate njia hii.
Mimi sijatekwa na wewe hujatekwa!
Tupo huru na tunapata hela ya kununua bando la kuja kutoa michango ya kimawazo ya hapa na pale!
Tanzania Bado ni kisiwa cha amani ndio maana Mimi na wewe tupo huru.
Acheni kukaririshwa maneno na watu wasioitakia amani nchi yetu.