Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

Ili taasisi ya kidini ifanye shughuli zake nchi yoyote lazima iwe imesajiliwa na serikali.
Na serikali hiyohiyo ina mamlaka ya kufuta usajili endapo inaona kuwa taasisi husika inakiuka masharti ya usajili.
Nyinyi mnapiga kelele kufungiwa taasisi moja tu, hapo Rwanda rais Kagame kafungia zaidi ya makanisa na misikiti hamsini na wanyarwanda wako kimya.
Wakati mwingine mtoke nje ya Tanzania mkajifunze!.
Kwanza umeonyesha kiwango chako cha umbumbumbu wa hali ya juu kujibu post kwa assumptions, eti wakati mwingine mtoke nje. You don't have slightest idea, au unadhani kila mtu humu anaishi kajamba nani huko TZ kama unavyoishi wewe.
Back to the topic:
Serikali unayoizungumzi sadly ni kama hauifahamu, hii ndiyo serikali ambayo kila anayekuwa na mawazo mbadala anatekwa na either atateswa sana au atauawa au kupotezwa asijulikane alipo na ndiyo hatasikika tena.
Serikali hii unayoizungumzia imeifungia hii forum na mlioko TZ mnaingia kiharamu kwa kutumia VPN bila kibali cha TCRA lakini mmejazana humu bila hata haya mkitumia forum ambayo serikali imeifungia.
Hii serikali wametishia kumuua Melo ambaye ni founder na owner wa huu mtandao wakimwambia waziwazi tutakuua na watu watapiga kelele lakini ndani ya mwezi utasahaulika lakini hapohapo unaona ni serikali credible na responsible kwa raia na institutions. All these proves ni serikali kandamizi, ya kibaguzi na iliyojaa unyama hivyo hata kanisa la Gwajiboy halikuwa na kosa na kama walikuwa na shida na Gwajiboy wange-deal naye na si institution ya kidini yenye waumini wenye mitazamo tofauti ya kisiasa. Wakafungia matawi yote nchi nzima, wakawakataza hata kusalia kwenye viwanja sasa mbona walivyopewa premises na Catholic wakashindwa kwenda kuwazuia kama kweli kulikuwa na justifications.
Umetoa mfano wa Rwanda, nchi ambayo hauifahamu hata 1% ya ninavyoifahamu. Hebu tuzungumzie Rwanda kwenye sectors zote, Kagame alishasema angekuwa na bandari kama Dar nchi isingekuwa na madeni ya nje na bandari ndiyo ingekuwa driving force ya uchumi, serikali yenu imeigawa kwa Waarabu kwa dubious and secretive contracts.
Unaona TRA wanaficha receipts za mtoto wa rais waziwazi kulinda uhujumu uchumi na ufisadi ndiyo bila haya unaweza kufanya comparison ya TZ na Rwanda.
Utawala wa Bongo hauna credibility kabisa, Kagame anapofungia institutions kwa kuwa anajulikana misimano yake kwenye rushwa, wizi, ulaghai na ubadhilifu hakuna anayetia shaka siyo kiongozi mpuuzi anayesema waziwazi kila mfanyakazi pale alipo ale kwa urefu wa kamba yake(literally ameruhusu wizi na corruption waziwazi).
Kuwa na akili japo kidogo.
 
Wewe mbona hujatekwa?! Au ndio umepotelea huku jamii forums ndugu zako wanakutafuta hawajui kuwa umepotelea jf na kuandika utumbo?!
Mimi sijatekwa na wewe hujatekwa!
Tupo huru na tunapata hela ya kununua bando la kuja kutoa michango ya kimawazo ya hapa na pale!
Tanzania Bado ni kisiwa cha amani ndio maana Mimi na wewe tupo huru.
Acheni kukaririshwa maneno na watu wasioitakia amani nchi yetu.
Kwakuwa siumwi na ninayo afya, basi hakuna magonjwa. Tanzania bado ni nchi isiyo na magonjwa
(Si lazima kunielewa)
 
Wewe mbona hujatekwa?! Au ndio umepotelea huku jamii forums ndugu zako wanakutafuta hawajui kuwa umepotelea jf na kuandika utumbo?!
Mimi sijatekwa na wewe hujatekwa!
Tupo huru na tunapata hela ya kununua bando la kuja kutoa michango ya kimawazo ya hapa na pale!
Tanzania Bado ni kisiwa cha amani ndio maana Mimi na wewe tupo huru.
Acheni kukaririshwa maneno na watu wasioitakia amani nchi yetu.
Mpaka atekwe, unafahamu kwamba hii JF unayoituma hapa ilivamiwa na bahati nzuri ofisi ya Tanzania ni administration block tu watekaji wameshindwa kupata kitu, unafahamu kama Melo ametishiwa kutekwa na kuuawa goodness yuko nje ya nchi na waziwazi wamemwambia kuwa watamuua na atasahaulika stupidly unamuuliza mtu mbona haujatekwa?
Unajua huko TZ watu wanaingia JF kiharamu kwani imefungiwa, au na hilo utauliza mbona wana-comment kama imefungiwa.
 
Hao wakatoliki wenyewe hawajakubaliana kuhusu jambo hili sasa madhehebu mengine yaige kitu gani?!
Hiyo warsha imeandaliwa jimbo katoliki DSM. Huko Tabora,Mbeya na Bukoba hawana habari za warsha wala makongamano bali wanachongojea ni tarehe ifike wakapige kura.
Hata hiyo Dar es salaam wakatoliki wengi wataenda kupiga kura.
Kwanza ukichunguza wagombea wengi wa ubunge na udiwani utakuta ni wakatoliki na nyuma yao Kuna wafuasi ambao wamejiandaa kuwapigia kura.
Hilo warsha la katoliki Kuna uwezekano watahudhuria wakatoliki wachache sana hasa wale wa chadema.
Shime kwa majimbo mengine wajifunze dar, waandae activities tofauti tofauti siku hiyo.
Hao waumini wenye ndugu wagombea niwatie moyo kuwa ndugu zao wagombea tayari matokeo ya kinachoitwa uchaguzi wanayo hata kabla ya kupiga kura. Hivyo wajikite zaidi kwenye kumjuwa Mungu wao, kwa kuzingatia ratiba itakayowekwa na viongozi wao wa kiroho.
 
Mpaka atekwe, unafahamu kwamba hii JF unayoituma hapa ilivamiwa na bahati nzuri ofisi ya Tanzania ni administration block tu watekaji wameshindwa kupata kitu, unafahamu kama Melo ametishiwa kutekwa na kuuawa goodness yuko nje ya nchi na waziwazi wamemwambia kuwa watamuua na atasahaulika stupidly unamuuliza mtu mbona haujatekwa?
Unajua huko TZ watu wanaingia JF kiharamu kwani imefungiwa, au na hilo utauliza mbona wana-comment kama imefungiwa.
Huyo ni mtoto kichwani.
 
watakutana na wafanya usafi huko mtaani JWTZ.
badae tusiombane michango ya matibabu tu.
Narudia tena hakutakuwa na mchango wa matibabu kabisa toka tar 25 october.
 
Hii Nchi siyo ya kikatoliki Msiposhiriki nyie wapo watakaoshiriki wengine
Hawa jamaa bado wanaishi kwenye zile ndoto za Roman Empire, hivi sasa wanajivua wazi nia yao mbaya wanadhani wao ni kila kitu hawajui maisha yataendelea muruaaa kabisa. Wewe nuna wenzako wanakula tu. Wanachofanya ndio inasukuma waislamu wajue huu ni udini sasa tutapiga kura hata kama hatuwapendi CCM.
 
Mbona yule muuaji walimuunga mkono, yule mwingine alienyatika na kuiacha Nchi imefilisika wanata
 
Imani yako ya chadema?!
"Ostadh" maana yake nini?!
Ukiniambia maana sahihi ya "ostadh" nina maswali mawili au matatu ya kuthibitisha "uostadh" wako tuone kuwa hujadandia gari kwa mbele na kujiita majina ambayohata hujui maana yake!
Unataka kusema nini, acha taarab.
 
Hawa jamaa bado wanaishi kwenye zile ndoto za Roman Empire, hivi sasa wanajivua wazi nia yao mbaya wanadhani wao ni kila kitu hawajui maisha yataendelea muruaaa kabisa. Wewe nuna wenzako wanakula tu. Wanachofanya ndio inasukuma waislamu wajue huu ni udini sasa tutapiga kura hata kama hatuwapendi CCM.
Bado huijui nguvu ya Roman Catholic wewe.

Hivi tunadhani hata ule UHURU WA KWENYE SAHANI tuliupata kutokana na na nguvu za kiushawishiwa yule mswahili wetu ,eti ? 🤣🤣

Endelea kujitekenya ,soon utacheka mwenyewe .
 
Waanzilishi wa ukoloni, utumwa, inquisition, crusader wars, Masonic and corrupt church, Utakatishaji wa fedha, (ESCROW, Banco Ambrosiano scandal) ulawiti wa watoto na mauaji ya kimbari Rwanda na Yugoslavia, etc
 
Bado huijui nguvu ya Roman Catholic wewe.

Hivi tunadhani hata ule UHURU WA KWENYE SAHANI tuliupata kutokana na na nguvu za kiushawishiwa yule mswahili wetu ,eti ? 🤣🤣

Endelea kujitekenya ,soon utacheka mwenyewe .
Nguvu? nadhani wenye nguvu wameshika uchumi na unawajua vizuri sasa hebu tutajie hizo nguvu zako? jinga kubwa
 
Back
Top Bottom