Kwanza umeonyesha kiwango chako cha umbumbumbu wa hali ya juu kujibu post kwa assumptions, eti wakati mwingine mtoke nje. You don't have slightest idea, au unadhani kila mtu humu anaishi kajamba nani huko TZ kama unavyoishi wewe.
Back to the topic:
Serikali unayoizungumzi sadly ni kama hauifahamu, hii ndiyo serikali ambayo kila anayekuwa na mawazo mbadala anatekwa na either atateswa sana au atauawa au kupotezwa asijulikane alipo na ndiyo hatasikika tena.
Serikali hii unayoizungumzia imeifungia hii forum na mlioko TZ mnaingia kiharamu kwa kutumia VPN bila kibali cha TCRA lakini mmejazana humu bila hata haya mkitumia forum ambayo serikali imeifungia.
Hii serikali wametishia kumuua Melo ambaye ni founder na owner wa huu mtandao wakimwambia waziwazi tutakuua na watu watapiga kelele lakini ndani ya mwezi utasahaulika lakini hapohapo unaona ni serikali credible na responsible kwa raia na institutions. All these proves ni serikali kandamizi, ya kibaguzi na iliyojaa unyama hivyo hata kanisa la Gwajiboy halikuwa na kosa na kama walikuwa na shida na Gwajiboy wange-deal naye na si institution ya kidini yenye waumini wenye mitazamo tofauti ya kisiasa. Wakafungia matawi yote nchi nzima, wakawakataza hata kusalia kwenye viwanja sasa mbona walivyopewa premises na Catholic wakashindwa kwenda kuwazuia kama kweli kulikuwa na justifications.
Umetoa mfano wa Rwanda, nchi ambayo hauifahamu hata 1% ya ninavyoifahamu. Hebu tuzungumzie Rwanda kwenye sectors zote, Kagame alishasema angekuwa na bandari kama Dar nchi isingekuwa na madeni ya nje na bandari ndiyo ingekuwa driving force ya uchumi, serikali yenu imeigawa kwa Waarabu kwa dubious and secretive contracts.
Unaona TRA wanaficha receipts za mtoto wa rais waziwazi kulinda uhujumu uchumi na ufisadi ndiyo bila haya unaweza kufanya comparison ya TZ na Rwanda.
Utawala wa Bongo hauna credibility kabisa, Kagame anapofungia institutions kwa kuwa anajulikana misimano yake kwenye rushwa, wizi, ulaghai na ubadhilifu hakuna anayetia shaka siyo kiongozi mpuuzi anayesema waziwazi kila mfanyakazi pale alipo ale kwa urefu wa kamba yake(literally ameruhusu wizi na corruption waziwazi).
Kuwa na akili japo kidogo.