Habari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa
View attachment 3480827View attachment 3480828
View attachment 3480829View attachment 3480830
ikHili ndo kanisa la watu makini na wasomi wakubwa.
laZima wakatae uhuni
Siasa ni maisha ya watuMimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa
ik
Kuna mda naonaga bora kuzaliwa sehemu kama kolea china haya mambo hayapo dini au dhehebu lipo kama genge fulani la watu ambao wapo kwa maslahi yao binafsi
Ni bora ungezaliwa huko huko maana akili huna hata ya kujua kusoma na kuandika tu! "kolea" ndio nini? watu kama wewe ni mzigo Kwa taifa na familiaKuna mda naonaga bora kuzaliwa sehemu kama kolea china haya mambo hayapo dini au dhehebu lipo kama genge fulani la watu ambao wapo kwa maslahi yao binafsi
Hii Nchi siyo ya kikatoliki Msiposhiriki nyie wapo watakaoshiriki wengineHii maana yake waumini wa katoriki hatushiriki uchaguzi mfu