Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

Kuna baadhi ya watu hawakustahili kabisa kuzaliwa kama binadamu. Badala yake walitakiwa kuzaliwa kama wanyama waharibifu! Mfano nyani, kunguru, nk. Maana wanakosa kabisa sifa ya ule ustaarabu wa mwanadamu.
 
Huna akili hivi makanisa yapo mangapi nchi nzima waende kuvamia huko
Askofu wa huko si unamjua when it comes to madudu ya serikali? Hapo wanamtoa kwenye line ili kwa yanayoendelea, awe bize na uvamizi wa kanisa. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuunganisha dots ili kupata LINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…