Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

Hao mafedhuli walifuata waraka wakidhani wahifadhiwa kwenye sehemu inowekwa sacrament na mvivyo.

Walipokosa huo waraka ndo wakaanza kufanya huo uchawi wao wa kunajisi hivyo vitu.

Bila shaka yoyote yaonekana ulikuwa ni mpango wa kuzuia waraka usisomwe leo.

Basi kwa kuwa kanisa limefungwa kwa mwezi mmoja na kwa kuwa taratibu zote zimefuatwa ikiwemo kuujulisha umma na kwa kuwa hakuna mwanaparokia yoyote alekumbwa na madhila ikiwemo hata kuuawa, basi litakuwa ni jambo muhimu sana kuhakikisha mali na majengo yote yafanyiwa tathmini (Risk Assessment) kutambua hatari zaidi zilizopo ili kutengeneza vizuizi (mitigations) kukabiliana na tatizo hili.

Kanisa katoliki lina uwezo na halishindwi kuweka mifumo ya kamera za ulinzi, alarm system na pia hata wababa paroko na mapadre wote kuwa na personal alarms na tracking devices pale ikitokea wametekwa.

Hivi sasa nchi iko kwenye mashaka makubwa.
 
Hao wanatafuta uchizi kwa lazima ,haipiti wiki Kama hawajakamatwa ,watakua vichaa au marehemu,wakaombe msamaha ndio pona yao,chezea kote lakini sio turbenako
Hakuna atakae kuwa chizi Acha mawazo mgando
 
Yesu huwa anajipigania hapiganiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…