Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😑😑😑😑!!!!
Mtekaji ni mtakatifu anaekemea utekaji ni muhuni

Upo wakati mtalipa kwa haya mnayoyafanya

Mnatumia vibaya mamlaka
 
We ongeaaaaaaaa, mwisho wa siku fuata Sheria! Ukishupaza shingo, utakula za uso kama Gwajima!!
 
They never supported him

Unless wewe ni wa juzi
 
Wewe Mshamba kweli Ndo huoni shida hyo Serikalini kwa hyo Mauaji kama ya kina Mzee Ally Kibao ambaye naye alikua muislamu kwenye Serikali ya Mama Ako hyuyaoni? Kosa la kufungia kanisa la Gwajima liko wapi kama tu ilikua ni kuhoji Mauaji yanayoendelea kwenye Serikali ya huyo kikongwe? Watu wote wamesimama kupiga uhuni unaofanywa na Polisi na Serikali kufungia nyumba za ibada badala ya kushungulika na huyo Gwajima unadai udini wewe ni KINEMBE
 
Mtu mzima kujibizana na kindergaten, kujidhalilisha tu wakati mwingine. Kianzia sass nitajitahidi kuwapuuza watoto wote wadogo wasiojitambua. Na nitaanza na wewe.
HUWEZI kushindana na mtu anayekuzidi akili na uwezo wa kujenga hoja. Tafuta wenye uwezo mnaolingana na naheshimu maamuzi yako.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘!!!
 
Siongei na wapumbavu, kwenda huko
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😑😑😑😑!!!!
Waumini wakikristo sio wahuni, heshimu Imani za watu, hiyo sio lugha nzuri, hao waumini wameikosea ni nchi hii. Hata hyo gwajima kakosea nini?
 
Mungu tusaidie.
Kwa kweli. Naangalia comment za watu hapa mpaka najiuliza imekuwaje watanzania tulioshi kama ndugu miaka yote tunaanza taratibu kuelekea kwenye ugomvi wa kidini, kiitikadi na asili ya mtu atokako. Waasisi wa taifa hili walituachia taifa lenye amani, upendo na ushirikiano bila kujali dini, kabila au asili ya mtu atakako. Hivi kwa nini baadhi ya viongozi wetu wamekuwa wabinafsi sana kiasi hawaoni hapa tulipofika tayari taa nyekundu imeshawaka na muda si mrefu tutatelekea pabaya. Na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanaotahadharisha hii hali wanapuuzwa?

Mungu anatupenda watanzania na taifa la Tanzania kwa ujumla. Kwani kwa mambo ambayo yameshatokea hapa kwetu mpaka sasa ingekuwa nchi nyingine sasa hivi wameshachapana zamani na wangekuwa kwenye kikao wanasuluhishwa huku wengine hawana migua, mikono, macho, n.k. Tusisubiri mpaka Mungu achoke kutusimamia watanzania.

Mwenye masikio na askie na mwenye macho aone.
 
Wafanye kama wanajikuna
Ahahahahaha! Yaani wajaribu tu waone. Ila ninachojua mimi, Wakatoliki wako makini sana kwasababu huko nyuma huko Ulaya wamepata shida sana walipofikiri wana nguvu kuliko Serikali. Uingereza ilijitoa kwenye Ukatoliki kwasababu hizo hizo za Vatican kuamini wana nguvu. China na Vatican ndio wameingia "Mkataba Maalum" mwaka 2024 wa kuutambua Ukatoliki wa Vatican. Miaka yote walishindwa kuwa na Kanisa Saudia hadi walipo bow down kwa Serikali ya Kifalme!
Hata hapa wawe makini. Tena wawe makini na Padre Dk. Kitima. Atawaingiza chaka!!!
 
Finally, wana kondoo waliokuwa wamepotea wamerudi zizini
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa![emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]!!!!
Kapime akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…