Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

Wakiungana hivo ile proper gander ya mwezi vs msalaba ndo itahanikizwa sasa na divide and rule itatamalaki
 
Wana wa Mungu hawa
 
taratibu watanzania wanaoonewa wameshajua nani ni adui yao wa pamoja/ common enemy. adui ambaye amekuja kutugawa watanzania, adui anayechukia ukristo hadi ameshindwa kuvumilia akatoa makucha. Mungu iponye Tanzania.
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
We kobasi amka ukakojoe,kumekucha
 
Ndo maana nitazidi kuwa muumini mzuri wa kanisa katoliki la mitume
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Catholic Church has never supported a Muslim president
 
Hali hii inathibitisha kuwepo kwa mpasuko na mparaganyiko ulio wazi kabisa katika nchi hii kwa sasa
Unaambiwa jumamosi HK taifa wajumbe hawaelewi walipigaje kura .yaani ni sawq na Mwanafunzi anayesaini Course Work ili hali hata module yenyewe haijui
 
huyu dogo akiwa kule kizimkazi wakiweka bajeti ya serikali kwenye kulipia watu kwenda kuhiji, huwa wanafundishwa kwamba china hakuna wakristo. na wanavyojua kumeza bila kutafuna.
Weupe sana hao watu
 
Hii ndiyo solidarity sasa!

Makanisa yote yenye misa moja yatoe hifadhi misa ya pili wapige pambio hao jamaa!

Tuone watafungia makanisa mangapi!

Kama jirani yako hayupo salama,haupo salama pia!!

"Injustice somewhere is a threat to justice everywhere."
Martin Luther King Jr.
 
Hata Napoleon Bonaparte alikwenda Vatican lakini alikataa kuvishwa taji la kifalme (Ufalme wa Ufaransa) na Papa. Akamnyang'anya na kujivika mwenyewe! Unaifahamu hiyo stori?
Acha stori za vatikan. Mleteni mhalifu Gwajima, akaripoti Polisi. Hakuna aliye juu ya sheria, kama mnamficha, nanyi ni wahalifu, mtafuatwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…