Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
View: https://youtu.be/BPzLWcEGYwo?si=eGLjo1AaSDgm-DN0
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
View: https://youtu.be/BPzLWcEGYwo?si=eGLjo1AaSDgm-DN0 Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
TEC nina imani nao. Inabidi siku yakitangazwa maandamano ya kupinga uchaguzi bila mabadiliko, maaskofu na mapadre wawepo na majoho yao. Hii itasaidia ujumbe kufika kwa ukubwa wake, na wananchi wasipigwe mabomu.
View: https://youtu.be/BPzLWcEGYwo?si=eGLjo1AaSDgm-DN0
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Siyo kweli! Maamuzi yake yako Centralized.Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Hilo sio KKKT. Get your facts right. Msidhani watu wote wataendelea kufumbia macho chaguzi za kipuuzi ili ccm wakae madarakani kwa shuruti.Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Kama ilivyokuwa DRC Viongozi wa Dini wawe mstari wa mbele kupigania mfumo wa HAKI wa Uchaguzi, huu mfumo wa sasa ni wa Zuluma tupu.TEC nina imani nao. Inabidi siku yakitangazwa maandamano ya kupinga uchaguzi bila mabadiliko, maaskofu na mapadre wawepo na majoho yao. Hii itasaidia ujumbe kufika kwa ukubwa wake, na wananchi wasipigwe mabomu.
TUsubiri Walaka wa Pasaka
View: https://youtu.be/BPzLWcEGYwo?si=eGLjo1AaSDgm-DN0
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Hata South Afrika na KenyaKama ilivyokuwa DRC Viongozi wa Dini wawe mstari wa mbele kupigania mfumo wa HAKI wa Uchaguzi huu mfumo wa sasa ni Zuluma tupu.
basi tuseme wahinduKanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Rudi shuleKanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
View: https://youtu.be/BPzLWcEGYwo?si=eGLjo1AaSDgm-DN0
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Afrika kusini alikuwa akihoji ni Desmond Tutu alikufa kwa alibu akiwa mzima aligundulika kuwa alikuwa kazaa nje na pia kuwa alikuwa shogaHata South Afrika na Kenya
acha upotoshaji gentleman,
View: https://youtu.be/BPzLWcEGYwo?si=eGLjo1AaSDgm-DN0
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Sasa hivi ni Tsunami, kila mahali Watanzania wanafunguka ukweli.Afrika kusini alikuwa akihoji ni Desmond tu alikufa kwa alibu akiwa mzima akigundulika kuwa alikuwa kazaa nje na shoga
Alikufa kifo cha aibu