Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia