PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?

Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa

Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine

Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa

Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki

Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa

Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Upo nje kabisa ya mada.
 
Nje ya mada...swali lako kamuulize mufti...hoja ni..Tume ya Uchaguzi ya taifa la Tanzania si halali..jibu hoja hiyo..
 
Narudia. Hakuna Jimbo la Kanisa Katoliki linawajibika kwa Jimbo jengine. Na hakuna Askofu wa Jimbo la Katoliki anawajibika kwa Askofu mwingine zaidi ya Vatican.
Nasubiri challenge.
Eeeh unachanganya muundo wa kanisa na mfumo wa kiutawala. Kwani mkuu wa mkoa flani hapa nchini anawajibika kwa mkuu wa mkoa mwingine.
 
Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?

Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa

Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine

Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa

Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki

Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa

Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Umeandika mashudu
 
Eeeh unachanganya muundo wa kanisa na mfumo wa kiutawala. Kwani mkuu wa mkoa flani hapa nchini anawajibika kwa mkuu wa mkoa mwingine.
Kwahiyo Mkuu wa Mkoa mmoja ana uwezo wa kutoa tamko la kutekeleza Mikoa mingine? Ukilijibu hili utaelewa mantiki yangu.
 
Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?

Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa

Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine

Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa

Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki

Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa

Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Kasome kanuni ya imani halafu rudi hapa. Ideology huwa ndiyo kila kitu. Iwe dini au chama chochote cha siasa duniani.
 
Huu utaratibu wa RAIS kuchagua makamoshina wa tume ya Uchaguzi umeanza lini na hili kanisa limeanza lini?

Kimsingi Catholics ni opportunists! Hapo alija RAIS John hutosikia madai hayo!

Walidai katiba wakati wa Jakaya, alipokuja John wakajisahaulisha!
 
Hawa wako na Agenda ya kuvuluga amani hivyo si vibaya kujibiwa kwa hoja au waingizwe kwenye mtego wakiingia kwenye mfumo ni mwendo wa kula vichwa.

Rita inaweza kuwa chambo ili huko mbeleni akili ziwakae vyema. Wanaacha kuzishibisha nyoyo za waumini imani na kudandia uwanja usio wahusu.

CCM hawa watu wa dini kitendo cha kuwasomba kwenye kila vikao kwa minajili ya kuleta mshikamano kinawapa jeuri hivyo tunaweza achana na huo mfumo ili wajikite na msingi wa usajili wa taasisi zao. Tuwatumie wahusika kwa kila kikao au tukio.

TUNAPENDA KUONA NCHI INAPIGA HATUA LAKINI SI KWA UVAMIZI HUU KWA KOFIA ZA DINI.
 
Upo nje kabisa ya mada.
Muongeaji yeyote cha kwanza kabla kuongea CV yake hutajwa yeye nani na watu ruksa kuchambua huo u yeye nani huo aliuopataje kama anaongelea demokrasia je yeye huo u nani anaojiita je aliupata kidemokrasia kabla ya hadhira kukubali kuwa anaruhusiwa kuelezea mambo ya demokrasia sababu yeye mwenyewe ni lazima awe zao la mchakato wa kidemokrasia kufika hapo alipo na kicheo chake hicho ajiite askofu au chochote

Kama haukutumika mchakato wa kidemokrasia kufika hapo alipo kicheo uliohusisha demokrasia kabla kuongea hakuna haja hata ya kumsikiliza
 
Kasome kanuni ya imani halafu rudi hapa. Ideology huwa ndiyo kila kitu. Iwe dini au chama chochote cha siasa duniani.
Huyo Askofu anaongelea demokrasia yeye hapo alipo kafika hicho cheo alikipata kidemokrasia? Aachie waliofikia hivyo vyeo kidemokrasia waingee

Hayo mambo ya kanuni ya imani bakini nayo huko makanisani kwenu
Muwaambie kabisa hao maaskofu wenu kama mchakato wa wao kufika walipo kuwa maaskifu haukuwa wa kidemokrasia waache ufarisayo kujifanya wao ni walimu wa demokrasia ?

Kila Askofu kabla kutoa ajitathimini yeye hapo alipo ni zao la demokrasia?

Alichaguliwa kidemokrasia? Kabla ya kujipa mandate ya kuongelea demokrasia

Vinginevyo ni ufarisayo mtupu
 
Back
Top Bottom