PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
tuliza makasiriko jukwaani gentleman,

maoni ya mkristo moja sio ya kanisa katoliki tafadhali :NoGodNo:
Hujui ata maana ya Kanisa ya Kanisa Katoliki...ww ni mjinga..katafute maarifa...kabla hujawah mpumbafu
 
Hujui ata maana ya Kanisa ya Kanisa Katoliki...ww ni mjinga..katafute maarifa...kabla hujawah mpumbafu
sasa mihemko ya nini gentleman,

si uwaeleze wadau kistaarabu tu kuliko kujipiga kifua bila point?

kanisa katoliki halijasema chochote kuhusu uchaguzi mkuu, msipotoshwe :NoGodNo:
 
AU SIO
IMG_1047.jpeg
 
Kama ilivyokuwa DRC Viongozi wa Dini wawe mstari wa mbele kupigania mfumo wa HAKI wa Uchaguzi, huu mfumo wa sasa ni wa Zuluma tupu.
Ni nchi gani viongozi wa dini wapigaji kuwa kuleta amani?

Maana ukisoma vizuri historia… kila dini zilipohusika, na amani ilivunjika

Generally speaking
 
Labda nikuulize Dogo. Lini Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania liliishawahi ku dictate muenenendo wa Siasa za Tanzania? Nipe mfano mmoja tu.
Kanisa Lina majimbo yake ndani ya nchi unayoiita Tanzania..na hakuna kitu utafanya...yamekuwepo ata kabla Uhuru...
 
sasa mihemko ya nini gentleman,

si uwaeleze wadau kistaarabu tu kuliko kujipiga kifua bila point?

kanisa katoliki halijasema chochote kuhusu uchaguzi mkuu, msipotoshwe :NoGodNo:
Mbona maana ya mjinga na mpumbafu ni dhahili..kabisa...aliyetoa tamko ni nani..!?
 
Mbona maana ya mjinga na mpumbafu ni dhahili..kabisa...aliyetoa tamko ni nani..!?
alietoa tamko ni raia mpiga kura kama wewe na wengine tu, lakini sio kanisa katoliki :NoGodNo:
 
ndio urithi mlioachiwa na waarabu...
 
Kipind Cha JPM uliwasikia?

Sheikh Ponda sio muislam?
 
TEC nina imani nao. Inabidi siku yakitangazwa maandamano ya kupinga uchaguzi bila mabadiliko, maaskofu na mapadre wawepo na majoho yao. Hii itasaidia ujumbe kufika kwa ukubwa wake, na wananchi wasipigwe mabomu.
watapigwa na makanzu yatachakaa
 
Acha upumbavu kuchukua picha za watoto na kuziweka mitandaoni ni upumbavu mkubwa sana unafanya

Je angekuwa mwanao ungefanya hiv?
Dalili mojawapo ya umasikini na kupoteza mwelekeo ni kupaniki bila kuwa na sababu za msingi

Afu unajuaje hiyo picha kama ni ya mwanangu?

Punguza shobo mzee
 
Back
Top Bottom