kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Mufti ,anaitwa Dr lakini nikitazama kichwani naona lasaba.....PhD imeniumiza sana
Sasa hivi ni Tsunami, kila mahali Watanzania wanafunguka ukweli.
View: https://youtu.be/wGyIIwuuMzc?si=24sX2YCQ5XpedxL5
Kanisa katoliki halichagui Askofu, anateuliwa na mamlaka ya kanisa (Kiti cha Papa), kwahiyo hakuna demokrasia inayohitajika kwasababu Askofu haombi kuchaguliwa, bali ni uvuvio wa Roho Mtakatifu kwa kanisa na busara za kiti kwa kuzingatia sifa za kielimu na kichungaji kati ya mapadri waliopo katika huduma ndani ya kanisa mahalia na nchi kwa ujumla.Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Sasa umaskini wangu na WA wazazi wangu unasababisha vp niwachukie wengine? Kumbe yote haya kisa umaskini wako?Kwani 2030..kachaguliwa na nani..!?..Kwan uchaguzi Tyr..!?..au kachaguliwa na majin...!?...Acha ujinga kibibi chako..hicho.. wakati wazazi wako wapo huko Uyole..vijijini wanakufa kwa njaa na umasikini...
Upo sawa kabisa, kuna watu wanaamini Askofu wa Jimbo kuu la Dar es salaam ni mkuu wa Maaskofu Tanzania.Narudia. Hakuna Jimbo la Kanisa Katoliki linawajibika kwa Jimbo jengine. Na hakuna Askofu wa Jimbo la Katoliki anawajibika kwa Askofu mwingine zaidi ya Vatican.
Nasubiri challenge.
Ukubwa/VYEO KATIKA KANISA KATOLIKI TZNarudia. Hakuna Jimbo la Kanisa Katoliki linawajibika kwa Jimbo jengine. Na hakuna Askofu wa Jimbo la Katoliki anawajibika kwa Askofu mwingine zaidi ya Vatican.
Nasubiri challenge.
Kwa kanisa katoliki kila jimbo lina mamlaka kamili, hakuna Askofu anaewajibika kwa askofu mwingine isipokua Askofu wa Roma.Acha kudanganya huo mfumo ni wa KKKT na Anglican Kanisa Katoliki Tanzania ni moja, ndiyo maana Askofu anahamishwa kwenda Jimbo lingine Kufanya utume,
That's just a tea party gathering. Waulize wahusika.Kumbuka pia kuna baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC).
Kwani TEC imeanza jana dogo? Matamko yake ni zaidi ya milioni. Lipi liliishawahi kuitikisa Serikali? Nipe Moja tu!Subiri tamko rasmi la TEC nzi wa kijani wewe
Jibu la kipumbavu!Unadhani kila siku ni ijumaa?
Nani kapinga hilo?Kanisa Lina majimbo yake ndani ya nchi unayoiita Tanzania..na hakuna kitu utafanya...yamekuwepo ata kabla Uhuru...
Huwezi mchukia muuaji mwenzako...Sasa umaskini wangu na WA wazazi wangu unasababisha vp niwachukie wengine? Kumbe yote haya kisa umaskini wako?
Sio kweli.Ukubwa/VYEO KATIKA KANISA KATOLIKI TZ
NIJUAVYO MIMI
1. CARDINAL
2. RAIS WA BARAZA LA MAASKOFU
2. MAKAMU WA RAIS
3. MAASKOFU WAKUU KWENYE MAJIMBO MAKUU YALIYOPO
4. MAASKOFU
5. MAASKOFU WASAIDIZI
6. MAPAROKO
7. MAPADRE
PAMOJA NA HUU MTITIRIKO, KUNA TEC . HAPA NDIPO KILA KITU KINACHOSEMWA AU TAMKWA HUPIKWA NA WASOMI WAKUBWA WALIOBOBEA.
Hiki chombo ni kikuu sana.
Dogo jambo usilolijua kaa kimya au uliza ujue. Kujionesha kuwa ni mjinga na mpumbavu sio jambo jema.Acha kudanganya huo mfumo ni wa KKKT na Anglican Kanisa Katoliki Tanzania ni moja, ndiyo maana Askofu anahamishwa kwenda Jimbo lingine Kufanya utume,
🚮🚮🚮Nani kapinga hilo?
🚮🚮🚮Dogo jambo usilolijua kaa kimya au uliza ujue. Kujionesha kuwa ni mjinga na mpumbavu sio jambo jema.