PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa wako na Agenda ya kuvuluga amani hivyo si vibaya kujibiwa kwa hoja au waingizwe kwenye mtego wakiingia kwenye mfumo ni mwendo wa kula vichwa.

Rita inaweza kuwa chambo ili huko mbeleni akili ziwakae vyema. Wanaacha kuzishibisha nyoyo za waumini imani na kudandia uwanja usio wahusu.

CCM hawa watu wa dini kitendo cha kuwasomba kwenye kila vikao kwa minajili ya kuleta mshikamano kinawapa jeuri hivyo tunaweza achana na huo mfumo ili wajikite na msingi wa usajili wa taasisi zao. Tuwatumie wahusika kwa kila kikao au tukio.

TUNAPENDA KUONA NCHI INAPIGA HATUA LAKINI SI KWA UVAMIZI HUU KWA KOFIA ZA DINI.
We mpuuzi jibu hoja hiyo, acha vitisho uchwara

Rais.jpg
 
Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?

Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa

Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine

Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa

Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki

Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa

Unakiuka misingi yote ya demokrasia

Tuchaguane ili waingie wenye dini nyingine na kuleta mambo yao?
 
Mama Samia tulia na omba sana kwa Mola wako, wamekupania kweli kweli hao jamaa. Uliwahi kusikia swali kama hilo likihojiwa na hao jamaa wakati wa JPM au Mkapa?!!!! Jibu lipo wazi......
Mola gani anasikiliza mtu anayempuuza kwa kufanyia ULAGHAI, wa wazi wazi wengine? Acheni dhihaka, tunataka mifumo huru ya uchaguzi ili kura zetu ziwe na thamani.
 

Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Tume ya uchaguzi wakati wa Magufuli muundo na upatikanaji wake ulikuwa mbaya kuliko sasa mbona hawakusema hayo maneno? Pengo kila mara ilikuwa ni kumsifu Magu, hao ni wabaguzi, ni wadini, wana roho za kishetani walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda. Km wanaona siasa inalipa wavue majoho waingie ulingoni. Majinga tu hayo. Kila Rais akiwa muislam wanakuwaga walalamishi, wapotoshaji, wachokonozi, washindwe na walegee hao wapuuzi
 
Hilo sio KKKT. Get your facts right. Msidhani watu wote wataendelea kufumbia macho chaguzi za kipuuzi ili ccm wakae madarakani kwa shuruti.
We pimbi hapa siyo Rwanda walikosababisha mauaji ya halaiki, hawafanikiwa mission zao hao wapuuzi wako. Wao ni kina nani mpk uwadunishe KKKT? Acha ushabiki wa kipumbavu we mfuasi wa Roma. Hakuna kitu wanaweza kufanya hao wanafki wabaguzi.
 
Kama ilivyokuwa DRC Viongozi wa Dini wawe mstari wa mbele kupigania mfumo wa HAKI wa Uchaguzi, huu mfumo wa sasa ni wa Zuluma tupu.
Huna ht haya kuitolea DRC mfano? RC hawajawahi kufanya la maana zaidi ya kugawa wananchi na kuiharibu nchi. Mashetani tu hao, DRC imegawanyika ndio msaada waliotoa?
 
..hata kamati ya maridhiano wanasema kuna mambo yanapaswa kurekebishwa kabla ya uchaguzi.
 
Mola gani anasikiliza mtu anayempuuza kwa kufanyia ULAGHAI, wa wazi wazi wengine? Acheni dhihaka, tunataka mifumo huru ya uchaguzi ili kura zetu ziwe na thamani.
Huu mfumo kautengeneze nyumbani kwako Tume yetu ni huru. Kwenu nyie nyumbu uhuru wa tume huoneshwa na nyie kushinda?
 
We mpuuzi jibu hoja hiyo, acha vitisho uchwara

View attachment 3291725
Mpuuzi mamako we mbwa koko, hilo li mchaga lilihamishaga chuo cha ualimu kutoka Mbulu na kuipeleka kwao Kibosho akiwa askofu wa jimbo katoliki Mbulu. Hakuna binadamu mbaguzi km huyo mkibosho aitwaye Ruwaichi. Huyo mpumbavu atakufa na huo ubaguzi wake na roho mbaya bila kufanikisha ushetani wake huo. Kinachomwasha Samia kuwa Rais. Anajikweza sana hajawahi kuhudhuria mkutano wa Rais hapo Dsm kwa chuki zake za kidini. Samia Rais mpaka 2030, huyo nyau ni level ya RC
 
Huyo Askofu anaongelea demokrasia yeye hapo alipo kafika hicho cheo alikipata kidemokrasia? Aachie waliofikia hivyo vyeo kidemokrasia waingee

Hayo mambo ya kanuni ya imani bakini nayo huko makanisani kwenu
Muwaambie kabisa hao maaskofu wenu kama mchakato wa wao kufika walipo kuwa maaskifu haukuwa wa kidemokrasia waache ufarisayo kujifanya wao ni walimu wa demokrasia ?

Kila Askofu kabla kutoa ajitathimini yeye hapo alipo ni zao la demokrasia?

Alichaguliwa kidemokrasia? Kabla ya kujipa mandate ya kuongelea demokrasia

Vinginevyo ni ufarisayo mtupu
Kwa hiyo unataka kusema kupata viongozi bila kufuata Haki ndio ungependa iwe hivyo , ukiachana na hayo maneno ya Kanisa au huyo Askofu
 
Mpuuzi mamako we mbwa koko, hilo li mchaga lilihamishaga chuo cha ualimu kutoka Mbulu na kuipeleka kwao Kibosho akiwa askofu wa jimbo katoliki Mbulu. Hakuna binadamu mbaguzi km huyo mkibosho aitwaye Ruwaichi. Huyo mpumbavu atakufa na huo ubaguzi wake na roho mbaya bila kufanikisha ushetani wake huo. Kinachomwasha Samia kuwa Rais. Anajikweza sana hajawahi kuhudhuria mkutano wa Rais hapo Dsm kwa chuki zake za kidini. Samia Rais mpaka 2030, huyo nyau ni level ya RC

..Reforms zitatunufaisha Watanzania wote.

..Hata Mama Samia amekuja na 4R hivyo hatakiwi kupiga chenga anapoambiwa atekeleze Reforms.
 
Huna ht haya kuitolea DRC mfano? RC hawajawahi kufanya la maana zaidi ya kugawa wananchi na kuiharibu nchi. Mashetani tu hao, DRC imegawanyika ndio msaada waliotoa?
Kukubali ushenzi kufanyika kwenye chaguzi na kukaa kimya ndio kutengeneza umoja?
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Mimi ni Mkatoliki.Siyo sahihi kusema kila jimbo linajitegemea kimaamuzi.Maamuzi mazito ya kanisa huamriwa na mamlaka zilizoko Vatican,makao makuu ya kanisa kutangazwa na Papa.
Lakini maamuzi ya ndani ya nchi huamriwa na Baraza la maaskofu (TEC) la nchi husika na kutangazwa na Rais wa TEC wa wakati huo.
 
Back
Top Bottom