ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Kunaanza kunoga ??!
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Nauliza kwa laafudhi ya Kimakonde 😅