Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Sawa sawa. Wacha tuendelee kuwaelimisha. Wakikataa kuelimika shauri yao! 🙏🙏🙏🙏Upo sawa kabisa, kuna watu wanaamini Askofu wa Jimbo kuu la Dar es salaam ni mkuu wa Maaskofu Tanzania.
Nadhani tungesema Baraza la maaskofu limesema kama huo ujumbe ungetolewa na Rais / Makamu wa Rais ama Katibu mkuu wa TEC.
Lakini maoni hayo yakitolewa na Mhashamu Ruwaichi jimboni DSM basi ni msimamo wake binafsi ambao unaweza kuwa msimamo wa jimbo la DSM.