Ndo maana mnachakazwa Palestina..mnachokiwaza ni kupigana...🚮🚮watapigwa na makanzu yatachakaa
Ndo maana mnachakazwa Palestina..mnachokiwaza ni kupigana...🚮🚮watapigwa na makanzu yatachakaa
nDalili mojawapo ya umasikini na kupoteza mwelekeo ni kupaniki bila kuwa na sababu za msingi
Afu unajuaje hiyo picha kama ni ya mwanangu?
Punguza shobo mzee
Sasa hivi ni Tsunami, kila mahali Watanzania wanafunguka ukweli.
View: https://youtu.be/wGyIIwuuMzc?si=24sX2YCQ5XpedxL5
Tuanzie wapi sasa ya hapa au ya wapiKwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
mimi Ni mtanzania sio mpalestina.mambo yao hayanihusu.labda kama binadamuNdo maana mnachakazwa Palestina..mnachokiwaza ni kupigana...🚮🚮
Ndio inatakiwa, haki inapatikana kwa mazingira hayo. Na ikitokea wakawapiga maaskofu ndio utajua nini kitaendelea.watapigwa na makanzu yatachakaa
Na wakiendelea kuongea watanajisiwa na waoNi kweli, wanatakiwa wakae kimya chaguzi ziendelee kunajisiwa, vinginevyo wakaishi Rome.
Hamna ujanja huo.Na wakiendelea kuongea tutawanajisi na wao
Endelea kuota nyumbu. Nchi Ina misingi imara hii balaa, hakuna kikundi chochote Cha dini kinachoweza kuleta zake......hakuna. Uchaguzi utafanyika na mtapigwa mapemaaa tatu bila.Mtaongea yote mwaka huu ila vyovyote vile lazima mfumo wa hii nchi unadilishwe ili wananchi wapate maendeleo ya kweli
Hameni nchiHamna ujanja huo.
Yesu anapenda hila na upendeleo?!!! Kwamba akiwa A hakuna mapungufu lakini akiwa B basi mapungufu yanaonekana?!!! Huu upumbavu shenzi...Kwa Mola yupi..!?..Allah..!?..Hakuna mola anayetetea utekaji na uuaji...acha ujinga
Acha kudanganya huo mfumo ni wa KKKT na Anglican Kanisa Katoliki Tanzania ni moja, ndiyo maana Askofu anahamishwa kwenda Jimbo lingine Kufanya utume,Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Ni kweli, maana wenye haki nchi hii ni majizi.Hameni nchi
Dhambi itabaki kuwa dhambi..tu.. haijalishi kafanya kwa wakati Gani au kafanya nani au kibb chako hicho...moto ni ulele...unachinja watu..haf wakikuonya unakimbilia kumwomba Mola...tutoleeni ushetani wenu hapa...Yesu anapenda hila na upendeleo?!!! Kwamba akiwa A hakuna mapungufu lakini akiwa B basi mapungufu yanaonekana?!!! Huu upumbavu shenzi...
Yeah, ni kibibi chetu ndiyo; tunakipenda kibibi chetu na tunacho sana tu.....Hadi 2030 hiyo, hutaki hamia Comoro tu nyumbu. Mdhihaki kwa namna yoyote ile lkn alipo wewe na ukoo wenu hamtofika hata miaka 1000.Dhambi itabaki kuwa dhambi..tu.. haijalishi kafanya kwa wakati Gani au kafanya nani au kibb chako hicho...moto ni ulele...unachinja watu..haf wakikuonya unakimbilia kumwomba Mola...tutoleeni ushetani wenu hapa...
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Sio walaka, ni waraka! Watanzania hata kiswahili chenu hamkijuiTUsubiri Walaka wa Pasaka
Kwani 2030..kachaguliwa na nani..!?..Kwan uchaguzi Tyr..!?..au kachaguliwa na majin...!?...Acha ujinga kibibi chako..hicho.. wakati wazazi wako wapo huko Uyole..vijijini wanakufa kwa njaa na umasikini...Yeah, ni kibibi chetu ndiyo; tunakipenda kibibi chetu na tunacho sana tu.....Hadi 2030 hiyo, hutaki hamia Comoro tu nyumbu. Mdhihaki kwa namna yoyote ile lkn alipo wewe na ukoo wenu hamtofika hata miaka 1000.
Shetani ni yule anayekuwa na hila na upendeleo.