PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Muongeaji yeyote cha kwanza kabla kuongea CV yake hutajwa yeye nani na watu ruksa kuchambua huo u yeye nani huo aliuopataje kama anaongelea demokrasia je yeye huo u nani anaojiita je aliupata kidemokrasia kabla ya hadhira kukubali kuwa anaruhusiwa kuelezea mambo ya demokrasia sababu yeye mwenyewe ni lazima awe zao la mchakato wa kidemokrasia kufika hapo alipo na kicheo chake hicho ajiite askofu au chochote

Kama haukutumika mchakato wa kidemokrasia kufika hapo alipo kicheo uliohusisha demokrasia kabla kuongea hakuna haja hata ya kumsikiliza
Shuleni ulienda kujifunza ujinga..
 
Wasiibe kura popote pale twende jicho kwa jicho kwa utulivu.
Tutaona makubwa sana.
Mfano mimi na Mzew Rungwe..walituibia agenda yetu ya Ubwabwa na sasa mashule kote wanafunzi wanakula japo si kote.

Upinzani si dhambi,Jesus ,Mungu mwenyewe wana battle na shetani mpaka tukaachiwa sisi wenyewe tujiombee
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Kumbuka pia kuna baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC).
 
Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?

Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa

Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine

Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa

Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki

Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa

Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Uko mbali kabisa na mada iliyoko mezani.
 
Mama Samia tulia na omba sana kwa Mola wako, wamekupania kweli kweli hao jamaa. Uliwahi kusikia swali kama hilo likihojiwa na hao jamaa wakati wa JPM au Mkapa?!!!! Jibu lipo wazi......
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Subiri tamko rasmi la TEC nzi wa kijani wewe
 
Mama Samia tulia na omba sana kwa Mola wako, wamekupania kweli kweli hao jamaa. Uliwahi kusikia swali kama hilo likihojiwa na hao jamaa wakati wa JPM au Mkapa?!!!! Jibu lipo wazi......
Mtaongea yote mwaka huu ila vyovyote vile lazima mfumo wa hii nchi unadilishwe ili wananchi wapate maendeleo ya kweli
 
Mbona sisi hatuhoji matumizi ya sandakan zetu. Yesu Kristo alituonya ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari.
 
Huyu mama tukimuacha aeendelee kuongoza nchi hii kwa miaka mingine 5, nchi itapigwa mnada.
 
Mama Samia tulia na omba sana kwa Mola wako, wamekupania kweli kweli hao jamaa. Uliwahi kusikia swali kama hilo likihojiwa na hao jamaa wakati wa JPM au Mkapa?!!!! Jibu lipo wazi......
Kwa Mola yupi..!?..Allah..!?..Hakuna mola anayetetea utekaji na uuaji...acha ujinga
 
Back
Top Bottom