PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aiseeee hivi ukiwa CCM hata kitu cha wazi kinakushinda kuelewa?Ukiwa CCM uwezo kufikiria hupungua?Ukiwa CCM unatumia MAKALIO KUFIKIRIA?
uwazi upi gentleman,
maoni ya mtu moja binafsi hayawezi kua ya kanisa katoloki gentleman
 
"Kwa upande wake Balozi wa Vatican nchini Tanzania, Askofu Solczynski hakutofautiana na kauli ya Kadinali Pengo kwa kusema kuwa pamoja na kwamba Askofu Niwemugizi ana haki ya kutoa maoni yake lakini tatizo linakuja pale watu wakaposhindwa kung’amua kuwa ni maoni binafsi au ni ya Kanisa.

Alisisitiza kuwa Kanisa lina taratibu zake za kutoa maoni kwa masuala ya kijamii na kwa Serikali." 8/10/2017.
 
Ulitegemea wala ubwabwa wawe na kauli!hao ukiwapikia pilau na ndizi mbivu ufahsmu unatoweka.
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Tatizo la kanisa Katoliki wanaogopa kusema ukweli ili waonekane wema. Muulize professor Lumumba wa Kenya atakuambia ni kwa nini DRC wanateseka mpaka leo. Kanisa linakaa kimya ili waonekane wema. Mantiki ya kupigwa shavu la kulia unamgeuzia na shavu la kushoto.
 
Haiwezekani Refarii awe ni mchezaji wa moja ya timu zinazoshindana atajipendelea na kwa kujipa penati hewa na mabao hewa.

Kama huyu Mzee anavyolalamikaπŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Haki ndo msingi mkuu wa Amani, viongozi wa dini walishike hili wakati wote
Maua yako mkuu πŸ΅πŸ΅πŸ΅πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸͺ·πŸͺ·πŸ΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…