Kanisa katoliki laja na mkakati wa kuleta orodha ya majina ya Watanganyika waliouawa October 29,2025

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu

Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29

TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao

Kutumia jumuiya ndogo ndogo za kikristo TEC watawabaini wote waliuliwa Kwa majina, anuani, umri wao

TEC wamedharia kuwavua nguo wahuni na mafisadi wauwaji wanaoficha vifo

Watanganyika tutapata idadi kamili. Ya waliokufa
1764612334250.jpg
 
View attachment 3510177
Assalama Reko Waumini
 
Hapo kwenye heading, ingetakiwa iwe siku ya uchaguzi, tarehe 29-10-2025 hadi 04-11-2025
 
Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu

Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29

TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao

Kutumia jumuiya ndogo ndogo za kikristo TEC watawabaini wote waliuliwa Kwa majina, anuani, umri wao

TEC wamedharia kuwavua nguo wahuni na mafisadi wauwaji wanaoficha vifo

Watanganyika tutapata idadi kamili. Ya waliokufa
View attachment 3510177
Kama walikuwa wanavunja maduka na kuchoma mali za watu acha wauwawe tu hakuna jinsi. RC hatuhitaji majizi na majambazi.
 
Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu

Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29

TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao

Kutumia jumuiya ndogo ndogo za kikristo TEC watawabaini wote waliuliwa Kwa majina, anuani, umri wao

TEC wamedharia kuwavua nguo wahuni na mafisadi wauwaji wanaoficha vifo

Watanganyika tutapata idadi kamili. Ya waliokufa
View attachment 3510177
Waendelee kushusha mvua tu tuone panapovuja
 
Back
Top Bottom