Kanisa katoliki laja na mkakati wa kuleta orodha ya majina ya Watanganyika waliouawa October 29,2025

Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu

Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29

TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao

Kutumia jumuiya ndogo ndogo za kikristo TEC watawabaini wote waliuliwa Kwa majina, anuani, umri wao

TEC wamedharia kuwavua nguo wahuni na mafisadi wauwaji wanaoficha vifo

Watanganyika tutapata idadi kamili. Ya waliokufa
View attachment 3510177
Naunga mkono
 
Dah natamani BAKWATA nao wangefanya hivi....
 
Mkakati Bora kabisa wakukusanya ushahidi
 
Kanisa katoliki ni idara ya kijasusi inayojificha kwenye taasisi ya kiroho!

Inatumia mashushu waliopo hadi vijijini ambapo huwezi dhani!!

Kweli nimeamini hii vita ni vita ya kidini!!
 
Hii ngoma bado mbichi😂😂😂😂
 
Kanisa katoliki ni idara ya kijasusi inayojificha kwenye taasisi ya kiroho!

Inatumia mashushu waliopo hadi vijijini ambapo huwezi dhani!!

Kweli nimeamini hii vita ni vita ya kidini!!
Siyo vita ya kidini.

Sema ni vita ya Kibinadamu na utu.

Nuru dhidi ya Giza.

Kazi wanayofa ya TEC ilitakiwa kufanywa na mifumo yetu ya kisheria na haki kama bunge, mahakama na majeshi ila kote KUMEUAWA.
 
Back
Top Bottom