Kanisa katoliki laja na mkakati wa kuleta orodha ya majina ya Watanganyika waliouawa October 29,2025

No wasifanye hiyo kazi na najua hawawezi kufanya. They are smart enough kuwahusisha na hilo. Hiyo ni sensa ya vifo na inahitajika kibali maalum Ili kufanya. Huo ni mtego.
Sio kwa kizazi hiki, matisho ilikua zamani enzi za mwalimu wakati wanatumia daftari za mazoezi! Dunia ishasonga mbele sana kijana leo ni ebooks na softlife tu na dunia ni kijiji we tulia tu
 
No wasifanye hiyo kazi na najua hawawezi kufanya. They are smart enough kuwahusisha na hilo. Hiyo ni sensa ya vifo na inahitajika kibali maalum Ili kufanya. Huo ni mtego.
TEC hawajawahi kuwa smart hata siku moja. Wanapewa sifa zisizostahili. Ni washari sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom