Hizo taarifa wanazo. Na orodha yote.No wasifanye hiyo kazi na najua hawawezi kufanya. They are smart enough kuwahusisha na hilo. Hiyo ni sensa ya vifo na inahitajika kibali maalum Ili kufanya. Huo ni mtego.
Kwani wakifanya hivyo Serikali yenu batili itawafanya nini?No wasifanye hiyo kazi na najua hawawezi kufanya. They are smart enough kuwahusisha na hilo. Hiyo ni sensa ya vifo na inahitajika kibali maalum Ili kufanya. Huo ni mtego.
Assalama Reko WauminiHakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu
Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29
TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao
Kutumia jumuiya ndogo ndogo za kikristo TEC watawabaini wote waliuliwa Kwa majina, anuani, umri wao
TEC wamedharia kuwavua nguo wahuni na mafisadi wauwaji wanaoficha vifo
Watanganyika tutapata idadi kamili. Ya waliokufa
View attachment 3510177
Kuwatambua waamini wao waliopoteza maafa ni kosa kisheria?No wasifanye hiyo kazi na najua hawawezi kufanya. They are smart enough kuwahusisha na hilo. Hiyo ni sensa ya vifo na inahitajika kibali maalum Ili kufanya. Huo ni mtego.
Hapo kwenye heading, ingetakiwa iwe siku ya uchaguzi, tarehe 29-10-2025 hadi 04-11-2025Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu
Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29
TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao
Kutumia jumuiya ndogo ndogo za kikristo TEC watawabaini wote waliuliwa Kwa majina, anuani, umri wao
TEC wamedharia kuwavua nguo wahuni na mafisadi wauwaji wanaoficha vifo
Watanganyika tutapata idadi kamili. Ya waliokufa
View attachment 3510177
Kama walikuwa wanavunja maduka na kuchoma mali za watu acha wauwawe tu hakuna jinsi. RC hatuhitaji majizi na majambazi.Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu
Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29
TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao
Kutumia jumuiya ndogo ndogo za kikristo TEC watawabaini wote waliuliwa Kwa majina, anuani, umri wao
TEC wamedharia kuwavua nguo wahuni na mafisadi wauwaji wanaoficha vifo
Watanganyika tutapata idadi kamili. Ya waliokufa
View attachment 3510177
Statistics Act ya 2015 imekazaKuwatambua waamini wao waliopoteza maafa ni kosa kisheria?
Hebu nielimishe kidogo
Waendelee kushusha mvua tu tuone panapovujaHakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu
Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29
TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao
Kutumia jumuiya ndogo ndogo za kikristo TEC watawabaini wote waliuliwa Kwa majina, anuani, umri wao
TEC wamedharia kuwavua nguo wahuni na mafisadi wauwaji wanaoficha vifo
Watanganyika tutapata idadi kamili. Ya waliokufa
View attachment 3510177
Ndio waliosababisha watu wakapigwa risasi kwa waraka wao wa kigaidi.TEC wanavithibitisho kabisa tofauti na masheikh ubwabwa ambaohutoa keleletu kama mnyama nguruwe anavyogugumia chakula