Kanisa katoliki laja na mkakati wa kuleta orodha ya majina ya Watanganyika waliouawa October 29,2025

Naunga mkono
 
Dah natamani BAKWATA nao wangefanya hivi....
 
Mkakati Bora kabisa wakukusanya ushahidi
 
Kanisa katoliki ni idara ya kijasusi inayojificha kwenye taasisi ya kiroho!

Inatumia mashushu waliopo hadi vijijini ambapo huwezi dhani!!

Kweli nimeamini hii vita ni vita ya kidini!!
 
Hii ngoma bado mbichi😂😂😂😂
 
Kanisa katoliki ni idara ya kijasusi inayojificha kwenye taasisi ya kiroho!

Inatumia mashushu waliopo hadi vijijini ambapo huwezi dhani!!

Kweli nimeamini hii vita ni vita ya kidini!!
Siyo vita ya kidini.

Sema ni vita ya Kibinadamu na utu.

Nuru dhidi ya Giza.

Kazi wanayofa ya TEC ilitakiwa kufanywa na mifumo yetu ya kisheria na haki kama bunge, mahakama na majeshi ila kote KUMEUAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…