Hawa WA Kilimanjaro Moshi mkuu ealiwachukua Mwaka juzi mbegu nzuri sana uliza wachagaView attachment 3328215
Kuna msatari kwenye Biblia unasema "...njiwa toka mbinguni..." je na hao wawili ni mwendelezo wa hilo la vitabuni?
Hao mbona hata siku ya msiba walikuwepo.View attachment 3328215
Kuna msatari kwenye Biblia unasema "...njiwa toka mbinguni..." je na hao wawili ni mwendelezo wa hilo la vitabuni?
Hawa ni sio watu wa kawaida basi tu tunaforce kwenda nao sawa ila ni ma genius sanaKweli kabisa hata mimi nashangaaga na nawaza walikuwa wanawaza nini....nikiangalia kwa mfano kuna majengo pale Washington Marekani unaambiwa yamejengwa mwaka 1700 hukoo ila utafikiri limejengwa juzi tuu..
Nikiiangalia Dodoma yetu ....ambayo tunaijenga leo..nachoka sana yaani...bado tuna safari ndefu sana...
😂Papa ni Donald Trump
Watalia hasa hao weupe.....Watu wanashangilia. Tuone kama wataendelea kushangilia kama akiwa Mwafrika mweusi 🤣.
May be....tumepata papa mweusi kwa mara ya kwanza hongerini sana
Dini yetu haipo hivyo,nafikiri ndio maana papa mweusi kupatikana ni tabu.Then quit!!!.
Yanini kuumiza kichwa wakati zipo option nyengine?islam etc,yaani watu kwa miaka 2000s+ wamelielewa hili wewe mmoja unatoka kusikoeleweka unataka waache wafuate unachoona wewe kinafaa?
Labda Mt Pdidyjrtumepata papa mweusi kwa mara ya kwanza hongerini sana
Kabisa mkuu, imagine miaka hiyo wao wanaporomosha majengo kama hayo huku Afrika tunaporomosha nyumba za udongo.Hawa ni sio watu wa kawaida basi tu tunaforce kwenda nao sawa ila ni ma genius sana
Maana hizo zama hapakuwa na ma cranes ya kuinua vitu vizito yet waliweza kujenga mega structures
r.i.p wajina 🐒Papa Francisco alikuwa wajna wangu