Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Ni kweli.Kuna sehemu nimesoma kuwa ana uraia wa nchi mbili, Peru alikofanyia utume muda mwingi, na Marekani alikozaliwa. Sina uhakika lakini.
Ulininukuu jibu langu nililomjibu mtu aliyeniuliza yeye ni Mmarekani wa asili ya wapi.
Ama una play dumb au unashindwa kujishusha na kukubali kuwa ulikosea.
Kwa huyo mmarekani hamjapata papa, labda kipapa kidogo dogo.Thats the news
Papa mpya ana degree ya hesabu . Well not what i expected from the conclave an american new pope . but all in all good luck to him
Kanisa katoliki liheshimiwe , kila mtu anashule .
Muslim someni shule
Alivaa nini?Ndo maana tramp alivaa kipapa alijua papa Anatoka kwake
Bro, that βsmoking gobletβ isnβt Hogwarts ,itβs centuries of tradition wrapped in incense and drama! Those so, called eunuchs? Tactical geniuses in robes. Itβs not just prayer β itβs spiritual chess with Latin chants and side-eyes. Think of it as βVatican Hunger Gamesβ but with mitres and holy water. Only one walks out in white, the rest get rosaries and emotional damage!
Bongo kila mtu ni nabii.Kwa huyo mmarekani hamjapata papa, labda kipapa kidogo dogo.
Kwanza tegemea kanisa kufungisha ndoa za jinsia moja.
Pili, wenda huyu ndie anaenda kutimiza maandiko,......... ile Taifa moja, Dini moja, huyu ndie anaenda kutekeleza.
Fuatilia wewe. Umeninukuu mwenyewe halafu huelewi ulichokinukuu π€£!Fuatilia vizuri mada
Exactly! Behind those flowing robes and angelic chants is straight up ecclesiastical Game Theory. If looks could excommunicate, half the room would be in eternal purgatory. But hey nothing says βVicar of Christβ like a little divine drama and some holy side,eye. God truly works in mysterious β and sometimes petty ways!πBeneath the debonair exterior, lies cutthroat, doublecross and side eye. That's how the Vicar of Christ is chosen π€£
god bless the Pontiff
Sio coincidence,Mambo yanafanywa kutokea,haitokei tuKusema ukweli huyo wala si mtu wake.
Kisiasa ana baadhi ya misimamo tofauti kabisa na Trump, hususan kwenye udhibiti wa silaha za moto na uhamiaji haramu.
Kilichotokea ni coincidence tu.
Haijalishi asili ni ilimradi awe anatokea USA iliyo chini ya Trump kwa sasaAnhaa. Kwa hiyo Hana asili ya Peru kama ulivyoandika!
Ni mission accomplished,iliyochezwa kwa usanifu wa hali ya juu na Elites wa hii DuniaNdo maana tramp alivaa kipapa alijua papa Anatoka kwake
Ushahidi uko wapi?Sio coincidence,Mambo yanafanywa kutokea,haitokei tu
Ushahidi ili iweje?Sio kila kitu kinawekwa publicUshahidi uko wapi?
Sasa wewe umejuaje?Ushahidi ili iweje?Sio kila kitu kinawekwa public
Kwa Nini hasa wewe unaota sana kuhusu suala la kuchaguliwa kwa Papa Mweusi (Mwafrika)???Ingekua wakatoliki wote ni kitu kimoja basi angekuwepo Papa muafrika, hamna umoja wowote mnabaguana ndani kwa ndani
Vinginevyo ni ngumu kumpata mshindi, na yawezekana mtangulizi wa papa naye huwa na pendekezo lake ambalo utajwa humo ndani lakn wasingependa hayo mambo yajulikane huko nje.Sasa nimeelewa kwann mle ndani wanaambiwa yatakayotokea n siro zaooo maanisha kuna wakati wanafika kukubaliana na kutokukubaliana WANATOKA na MAAMUZI ya pamoja HATA kama n magumu