Aliyeandika hiyo quote ni mthenge , utumwa na dini ni vitu viwili tofauti...Dini imemfanya huyo kardinali wa Tz (mweusi) kuwa nafasi moja ya kchagua papa,mtumwa hao viongozi wako wa ukoo ndio waliuza wenzao na kupewa vioo vya kujiangalia kama kuku.Waafrika Wengi Watalalamika Kuhusu Mambo Waliyofanyiwa Katika Utumwa Lakini Hata Siku Huwezi Sikia Wakilalamika Kuhusu Utumwa Wa Dini
mwenyewe nilikuwa najiuliza swali kama hiloHawa jamaa walio design Vatican (achtectures) walikuwa mbele ya mda sana maana haya majengo yatadumu miaka na miaka
Ohooo! Asije akatoka akiwa bwi!Kwa sasa atakuwa anamalizia glass yake ya wine kutoka Nje kusalimia wananchi na Dunia nzima
Ndio wasiwasi wangusema Wana usalama WA BALAA akizidisha wanakinyakua kikombe cha Bwana mkuuOhooo! Asije akatoka akiwa bwi!
Siyo Naijeria?Huyo lazima awe katoka Italy tu.
Mjinga mwingine huyo tena unaandika kwa lugha ya watu ,we mshamba kama yule chimakeke na watumwa wengine wanaoishi nchi za watu.Foolish bustard
Silent pls tunasubiri jinaMjinga mwingine huyo tena unaandika kwa lugha ya watu ,we mshamba kama yule chimakeke na watumwawengine wanaoishi nchi za watu.
Bwichubwichu chimpuusi vagarasi tobosiMjinga mwingine huyo tena unaandika kwa lugha ya watu ,we mshamba kama yule chimakeke na watumwa wengine wanaoishi nchi za watu.
Kama hakuna mgombea aliyepata 2/3 ya kura kutoka kwa makadinali wanaopiga kura basi zile karatasi wanazichoma pamoja na kemikali kama Potassium Chlorate, Sulfur na Athracene ambazo zinatoa moshi mweusi.NI SAYANSI KAMA SAYANSI
kwa Afrika ni mambo ya kishirikina ila kwa wazungu ni sayansi..
Ajabu sasa kama ni sayansi si waweke hata mfumo wa kutouch mashine ihesabu kura habari za moshi zinakujaje na suala la kiroho?
Anway mambo yao waachie wenyewe🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa hata mimi nashangaaga na nawaza walikuwa wanawaza nini....nikiangalia kwa mfano kuna majengo pale Washington Marekani unaambiwa yamejengwa mwaka 1700 hukoo ila utafikiri limejengwa juzi tuu..Hawa jamaa walio design Vatican (achtectures) walikuwa mbele ya mda sana maana haya majengo yatadumu miaka na miaka
Siri gani tena?Protase Kardinali Rugambwa aapa kuwa Mwaminifu na kutunza Siri