Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Huyu naye myopia tu na Magufulification of Africa. Ushirikina anaujua leo?Hatari na nusuView attachment 1716243
Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?Jiwe ameshindwa kabisa kuukubali ukweli
Hizo ndio gharama za kumfurahisha shetani. Anafurahia sana kafara kama hizo.What a saddest moment! Wapumzike kwa amani. Corona ipo; wananchi tuchukue tahadhari tujiepushe na kauli za wanasiasa matapeli! Ukifa umekufa wewe ni simamnzi kwa familia yako huyo anayekudanganya hakuna Corona wala hatakuwa na msaada wowote kwa familia yako in your absence!
Jikinge na uwakinge wengine; jali uhai wako na wa wengine utakuwa umetimiza kwa matendo amri isemayo USIUE.
Kwaiyo unatushaurije?Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?