Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Hivi hawa maaskofu kama wako serious kwanini wasifunge kabisa makanisa? Kwani kuna mtu atawazuia?
Wao ndio viongozi wa hayo makanisa. Wanajua vizuri namna ya kuyaendesha. Wewe ni nani kuanza kuwaelekeza namna ya kufanya. Ujuaji ambao hauna maana. Bure kabisa!
 
Nadhani hawa hawataki kutumia dawa za asili kwa dhana ya kishirikina wanaimani na dawa za wazungu tu.
Kwakua walishatudanganya tangu enzi eti dawa za mitishamba ni ushirikina na za wazungu ndiyo zimetoka mbinguni...Huyo mungu wao wamwabudu wao...Sisi tunamwabudu Mungu mkuu aliyehai ambaye aliziumba mitishamba na watu wake wanaoishi Tanzania...
 
Nafikiri hayo makanisa kama wako serious wangefunga kabisa ibada mpaka gonjwa lipite
Povu lote hili kwa sababu Padri kasema kuna korona? Na kwamba mapadri na masisita wamekufa?

Prove him wrong by giving comparative data. Bila data wacha kutujazia jukwaa na pumba zako.
 
Hakupaswa kutoa hizi takwimu, siyo wajibu wake, amesababisha hofu na taharuki isiyo na sababu! Ashitakiwe kwa mujibu wa Sheria ya takwimu!! Yeye angetahadharisha tu! Hawa maaskofu na mapadri wakiheshimiwa wasidhani kuwa wako juu ya Sheria!!
Acha mikwara ya kishamba.
 
Tumezaliwa ili tuishi na kufa.
Kifo ni funzo kwa binadamu waliopo.
Tuchukue tahadhali,kifo hakina mbadala wala sababu za kuhoji.
Eee Mwenyezi Mungu tuepushe na majanga yanayochukua uhai wa wateule wako haijalishi ni wa namna gani.
 
Mkuu kwani hauelewi maana kupiga nyungu,mazoezi na nimricaf?
 
Jifungie ndani.

Alisema watakaochelewesha mradi kwa sababu ya Corona wakaji coronaise. Na bado:



Hawajui kuwa kuna janga!

Ya kodi na kukataa chanjo ni ushahidi tosha.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Chonde serikali watu wavae barakoa kwenye mabasi iwe amri.
 
Chonde serikali watu wavae barakoa kwenye mabasi iwe amri.
Vaa mwenyewe!! Sisi tunataka hewa safi. Huko kwa mabeberu wamevaa sana barakoa na sanitizer lakini mbona wanaondoka tu? Msituchoshe na utopolo wenu! Hebu tuacheni tuchape kazi.
 
Reactions: Ame

Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
 
Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
Pole ndugu yangu. Mungu awe nawe na mgonjwa wako. Awape ufahamu madaktari ili wampe mgonjwa huduma sahihi ya kumsaidia mgonjwa.
 
Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
Hopeless!! Sasa unataka tukusaidie nini wewe tapeli wa karne.
 
Umetoa nukuu nzuri sana. Lakini bahati mbaya sana, waunga mkono wengi akili hamna, hawataelewa kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…