Jifungie ndani.Tatizo ni kuwa kuna huyu jamaa asiyetaka kufahamu kuwa tuna janga.
View attachment 1716452
Matokeo yake ndiyo huu mkururo wa matatizo unaotufuata.
Kukataa na kupotosha kuhusu chanjo ni moja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifungie ndani.Tatizo ni kuwa kuna huyu jamaa asiyetaka kufahamu kuwa tuna janga.
View attachment 1716452
Matokeo yake ndiyo huu mkururo wa matatizo unaotufuata.
Kukataa na kupotosha kuhusu chanjo ni moja tu.
Wao ndio viongozi wa hayo makanisa. Wanajua vizuri namna ya kuyaendesha. Wewe ni nani kuanza kuwaelekeza namna ya kufanya. Ujuaji ambao hauna maana. Bure kabisa!Hivi hawa maaskofu kama wako serious kwanini wasifunge kabisa makanisa? Kwani kuna mtu atawazuia?
Kwakua walishatudanganya tangu enzi eti dawa za mitishamba ni ushirikina na za wazungu ndiyo zimetoka mbinguni...Huyo mungu wao wamwabudu wao...Sisi tunamwabudu Mungu mkuu aliyehai ambaye aliziumba mitishamba na watu wake wanaoishi Tanzania...Nadhani hawa hawataki kutumia dawa za asili kwa dhana ya kishirikina wanaimani na dawa za wazungu tu.
Povu lote hili kwa sababu Padri kasema kuna korona? Na kwamba mapadri na masisita wamekufa?Nafikiri hayo makanisa kama wako serious wangefunga kabisa ibada mpaka gonjwa lipite
Acha mikwara ya kishamba.Hakupaswa kutoa hizi takwimu, siyo wajibu wake, amesababisha hofu na taharuki isiyo na sababu! Ashitakiwe kwa mujibu wa Sheria ya takwimu!! Yeye angetahadharisha tu! Hawa maaskofu na mapadri wakiheshimiwa wasidhani kuwa wako juu ya Sheria!!
Ni maoni yake Mkuu.Acha mikwara ya kishamba.
Mkuu kwani hauelewi maana kupiga nyungu,mazoezi na nimricaf?Marekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi. Hawa watu wameweka lockdown lakini korona imewafuata mpaka majumbani, hata viongozi wa nchi zao wamepatwa na huu ugonjwa. Swali ni Je? Nini unaweza kuwa utatuzi? Tusaidiane kutafakari tusiache misimamo ya kisiasa itutawale.
Jifungie ndani.
Tena na mikia yao😀Anatumika na mabeberu huyu..
Vaa mwenyewe!! Sisi tunataka hewa safi. Huko kwa mabeberu wamevaa sana barakoa na sanitizer lakini mbona wanaondoka tu? Msituchoshe na utopolo wenu! Hebu tuacheni tuchape kazi.Chonde serikali watu wavae barakoa kwenye mabasi iwe amri.
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.
Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima
Pole ndugu yangu. Mungu awe nawe na mgonjwa wako. Awape ufahamu madaktari ili wampe mgonjwa huduma sahihi ya kumsaidia mgonjwa.Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
Hopeless!! Sasa unataka tukusaidie nini wewe tapeli wa karne.Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
Huyo tapeli anakutapeli na wewe unakubaliPole ndugu yangu. Mungu awe nawe na mgonjwa wako. Awape ufahamu madaktari ili wampe mgonjwa huduma sahihi ya kumsaidia mgonjwa.
Umetoa nukuu nzuri sana. Lakini bahati mbaya sana, waunga mkono wengi akili hamna, hawataelewa kituSijui mnasomaga Biblia ya wapi; Wakati Yesu anazaliwa, mtawala wa wakati huo alipanga kuua watoto wote wenye umri wa miaka chini ya 2, Mungu akamwambia Yusufu akimbie Nazareth to Misri ili kumponya mtoto Yesu na mauaji hayo yaliokua yapo mbioni kutokea, na kweli Yesu alikimbizwa Misri kwa usalama wake huku nyuma watoto wa kiume waliuawa kwa amri ya Herode; Musa nae alikimbilia uhamishoni Midian kuuponya UHAI wake dhidi ya mfalme wa Misri wa wakati huo, wakati nabii Samuel katumwa kwenda kumpaka mafuta ya ufalme mtoto Daudi, aliuliza kwa Mungu kwa habari ya usalama wake cause ile habari ingejulikana kwa mfalme Sauli (remember huyu Sauli mfalme alipakwa mafuta na huyu huyu Samuel ) Sauli angeweza kumuua; Paul alitolewa kwa njia za panya kuuponya UHAI wake, wapelelezi wale waliotumwa na Musa, walijificha nyumbani kwa KAHABA/changudoa aitwae Rahabu. Mara zote Biblia haijazuia watu kutumia akili zao when it comes kwenye UHAI, imeandikwa, "usimjaribu Bwana Mungu wako"
Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?
Huyu nae siku izi kawa kiazi kigeugeu inshort haeleweki,mambo yakitulia atahamia kumsifu JokerHatari na nusuView attachment 1716243