Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Hivi hawa maaskofu kama wako serious kwanini wasifunge kabisa makanisa? Kwani kuna mtu atawazuia?
Wao ndio viongozi wa hayo makanisa. Wanajua vizuri namna ya kuyaendesha. Wewe ni nani kuanza kuwaelekeza namna ya kufanya. Ujuaji ambao hauna maana. Bure kabisa!
 
Nadhani hawa hawataki kutumia dawa za asili kwa dhana ya kishirikina wanaimani na dawa za wazungu tu.
Kwakua walishatudanganya tangu enzi eti dawa za mitishamba ni ushirikina na za wazungu ndiyo zimetoka mbinguni...Huyo mungu wao wamwabudu wao...Sisi tunamwabudu Mungu mkuu aliyehai ambaye aliziumba mitishamba na watu wake wanaoishi Tanzania...
 
Nafikiri hayo makanisa kama wako serious wangefunga kabisa ibada mpaka gonjwa lipite
Povu lote hili kwa sababu Padri kasema kuna korona? Na kwamba mapadri na masisita wamekufa?

Prove him wrong by giving comparative data. Bila data wacha kutujazia jukwaa na pumba zako.
 
Hakupaswa kutoa hizi takwimu, siyo wajibu wake, amesababisha hofu na taharuki isiyo na sababu! Ashitakiwe kwa mujibu wa Sheria ya takwimu!! Yeye angetahadharisha tu! Hawa maaskofu na mapadri wakiheshimiwa wasidhani kuwa wako juu ya Sheria!!
Acha mikwara ya kishamba.
 
Tumezaliwa ili tuishi na kufa.
Kifo ni funzo kwa binadamu waliopo.
Tuchukue tahadhali,kifo hakina mbadala wala sababu za kuhoji.
Eee Mwenyezi Mungu tuepushe na majanga yanayochukua uhai wa wateule wako haijalishi ni wa namna gani.
 
Marekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi. Hawa watu wameweka lockdown lakini korona imewafuata mpaka majumbani, hata viongozi wa nchi zao wamepatwa na huu ugonjwa. Swali ni Je? Nini unaweza kuwa utatuzi? Tusaidiane kutafakari tusiache misimamo ya kisiasa itutawale.
Mkuu kwani hauelewi maana kupiga nyungu,mazoezi na nimricaf?
 
Jifungie ndani.

Alisema watakaochelewesha mradi kwa sababu ya Corona wakaji coronaise. Na bado:

IMG_20210214_214251_251.jpg


Hawajui kuwa kuna janga!

Ya kodi na kukataa chanjo ni ushahidi tosha.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Chonde serikali watu wavae barakoa kwenye mabasi iwe amri.
 
Chonde serikali watu wavae barakoa kwenye mabasi iwe amri.
Vaa mwenyewe!! Sisi tunataka hewa safi. Huko kwa mabeberu wamevaa sana barakoa na sanitizer lakini mbona wanaondoka tu? Msituchoshe na utopolo wenu! Hebu tuacheni tuchape kazi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame


Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.

Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.

Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima


Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
 
Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
Pole ndugu yangu. Mungu awe nawe na mgonjwa wako. Awape ufahamu madaktari ili wampe mgonjwa huduma sahihi ya kumsaidia mgonjwa.
 
Naandika hii comment nikiwa pembeni ya mama yangu mzazi hospital shida ni “nimonia kali” jamani usiombe yakukute waTz tujikinge niliyoyaona na nayoendelea kuyaona yanatisha!
Hopeless!! Sasa unataka tukusaidie nini wewe tapeli wa karne.
 
Sijui mnasomaga Biblia ya wapi; Wakati Yesu anazaliwa, mtawala wa wakati huo alipanga kuua watoto wote wenye umri wa miaka chini ya 2, Mungu akamwambia Yusufu akimbie Nazareth to Misri ili kumponya mtoto Yesu na mauaji hayo yaliokua yapo mbioni kutokea, na kweli Yesu alikimbizwa Misri kwa usalama wake huku nyuma watoto wa kiume waliuawa kwa amri ya Herode; Musa nae alikimbilia uhamishoni Midian kuuponya UHAI wake dhidi ya mfalme wa Misri wa wakati huo, wakati nabii Samuel katumwa kwenda kumpaka mafuta ya ufalme mtoto Daudi, aliuliza kwa Mungu kwa habari ya usalama wake cause ile habari ingejulikana kwa mfalme Sauli (remember huyu Sauli mfalme alipakwa mafuta na huyu huyu Samuel ) Sauli angeweza kumuua; Paul alitolewa kwa njia za panya kuuponya UHAI wake, wapelelezi wale waliotumwa na Musa, walijificha nyumbani kwa KAHABA/changudoa aitwae Rahabu. Mara zote Biblia haijazuia watu kutumia akili zao when it comes kwenye UHAI, imeandikwa, "usimjaribu Bwana Mungu wako"
Umetoa nukuu nzuri sana. Lakini bahati mbaya sana, waunga mkono wengi akili hamna, hawataelewa kitu
 
Back
Top Bottom