Amesema Mungu si hirizi! Yes! Only hirizi ndio kitu ambacho unakitumainia bila kuhitaji akili! Mungu katuumba na akili,nafsi huru si kwaajili ya mapambo alafu yeye atawale! Pale pa kutumia akili huhitaji Mungu! Ukisikia mkojo unahitaji Mungu? Sasa tunajua kinachoendelea na kusumbua dunia nzima! Kwanini tusiseme ukweli ili jamii ijichunge?Aanze kiongozi wa kiroho aliyemkana Mungu hadharani kwakuiita imani ushirikina na science mkombozi
Walianza lini kuamini science? Walivyo nyonga wana science wakati huo huyo Mungu alikuwa hirizi?Amesema Mungu si hirizi! Yes! Only hirizi ndio kitu ambacho unakitumainia bila kuhitaji akili! Mungu katuumba na akili,nafsi huru si kwaajili ya mapambo alafu yeye atawale! ..
Hao mapadri huwa wanafanya mazoezi au ni kukaa tu ndani wakidhani ndio njia sahihi ya afya zao?
Imani haba, watu wanasali tu lakini hawana imani ya kiroho,Amesema Mungu si hirizi! Yes! Only hirizi ndio kitu ambacho unakitumainia bila kuhitaji akili! Mungu katuumba na akili,nafsi huru si kwaajili ya mapambo alafu yeye atawale! P
Ngoja nkuambie ki2 marekani kwenyewe usidhani kila sehemu wanasikia vifo kama unavojua wewe. Zile takwimu hutolewa na wataalam wa afya na wengne wanasikia kweny vyombo vya habari kama wewe. Come to your senses man.Kwa hiyo wewe unavyoona rate ya vifo kule marekani ni sawa na ya hapa kwetu?
Kifo hakifichiki, siyo kwamba hakuna waliokufa, wapo ila si kwa wingi mnaotka kutuaminisha
Jamani hivi tanzania Mungu mnaemwimba ni yupi? Mbona kwenye maandiko hatumuoni? Hivi wewe unajiona mtakatifu sana ndo maan Mungu kakuacha hai kawaua masista kwasababu wana dhambi?Biblia inatamka wazi kuwa hukumu itaanzia nyumba ya Mungu sababu haimpi utukufu Mungu sasa hivi kwenye Corona wanasayansi ndio wanapewa utukufu na maaskofu masista wachungaji na mapadre tujiandae kuzika wengi zaidi ya hao kuanzia maaskofu mapadre wachungaji masista nk hawa waliokufa cha mtoto .Narudia hukumu ya Mungu imeanza kanisani.Yeyote asiyekiri Mungu Kuwa Bwana na Mwokozi kwenye Corona ajiandae kuondoka na Corona.Watengeneze mambo yao saa yeyote wanaondoka
Si kweli. Masista wengine ni wakunga au madaktari hivyo wanakutana na waathirika moja kwa moja. Mapadre kwa masistavhukutana na waumini katika ibada na shughuli nyingine.Masista na mapadre hawachanganyiki sana na watu watakuwa Corona wanapeana wenyewe sababu wai huenda sana Roma italia kwa papa...
Nyinyi wa mila mmetufelisha mambo mengi sana zamu ya Yesu sahivi. Hamjui chochote maisha ya mwanadamu bali tunguli tu. Ny nd mmesababisha africa ibaki nyuma kimaendeleo em tuacheni kidogo tupate pumziko la milele. Huku tunaambiwa njooni enyi nyote mnaolemewa na mizigo na nitawapumzisha.Huyo petro wenu yupi wa Waafrika au wa wazungu?
Nyote mnaojifanya sijui petro,yesu'n.k mtakiona cha moto kwani Mwenyezi Mungu hajaribiwi....
Watu wanahisi kwasababu bible haijajikita sna kweny historia ya mwili bali imani basi wanahisi zamani walikuwa maroboti ya Mungu hawaugui wala hawana dawa.Shetani akapewa nafasi ya kuwarubuni watu wa Mungu leo ni kilio na kusaga meno! Uongo ukatamalaki, taifa likahadaiwa - HAKUNA CORONA! Yamfaa mpotoshaji yule afungiwe jiwe la kusaga na kutupwa baharini sio kwa upotoshaji ule tena madhabahuni!..
Mifano miwili tofauti. Unajua kwann waliletewa yule nyoka? Afu usichanganye mambo bible inajenga imani hasa hasa kwasababu tumeumbwa na akili mambo mengine Mungu atatuongoza tukiwa na imani. Swali kwako.Akafunge makanisa yao akuna anaye mzuia,mtumishi gani aamini nguvu za Mungu,eti Mungu si hirizi.Magonjwa hayo yalikukuwapo hata enzi Musa lakini Mungu alimwambia Musa achonge nyoka wa shaba atakaye mwangalia ndie atayepona (soma Hesabu 21:4-9) mtumishi gani anaogopa kifo...
Duuuu! Kwani serikalini umesikia? Maalim Seif Hamad Vipi au alihasi uislamu? Yani waislamu wengne na nyny ni tatizo kujumlisha jumlisha watu. Wale masheikh walioambukizwa saudia mmewazidi imani? Je, vipi saidia kutumia chanjo ya uviko-19 ? Ny waislamu wengne nahisi dini yenu yenyewe pia hamjailewa mnaenda hata kinyume nayo.Hapo ndio umuhimu wa uislam unapokuwepo Mara tano kila siku kunawa mikono mbona mashehe cjasikia
Kwa hyo unachukua nafasi ya malaika kuthibitisha kuwa tanzania wanasali sana kuliko mataifa yote duniani? Ok! Twende. Bible inasema yeyote ajikwezae atashushwa na ajishushae atainuliwa. Je kwann nyny mnajikweza namna hyo?Hao mapadri na masista waliofariki ni kwa sababu mbali mbali ikiwemo changamoto ya upumuaji (Na si kila changamoto ya upumuaji ni corona). Halafu ni Takwimu ya Tanzania nzima kwa miezi miwili!! Si kwa siku moja au wiki moja kwa jimbo moja!..
Padre kasema walikuwa wanakufa wa5 wa4 wa2 m1 au non katika range ya huo muda. Kwahyo ukikuta imefika 87 lazima ushtuke. Halafu kwann mwenzio afe kwamba ye nd ana dhambi sana? Kila mtu ana haki ya kuishi.Wala hazitishi japo baadhi ya watu wangependa kulazimisha zionekane kuwa zinatisha!!
Kwanza kifo si kigeni kwenye kila jamii ya watanzania ikiwemo jamii ya mapadri na masista! Tena kwa sababu mbalimbali ikiwemo tatizo la upumuaji hata kabla ya corona!!
Biblia inasemaje kuhusu imani na matendo? Je kweli kama taifa mnatenda bora kuliko mataifa mengine nd mkaponywa? Je hamzini, hamuibi? hamuui? hamsemi uongo ? Je mnaheshimu baba na mama?Je unataka kusema kuwa sisi hapa Tanzania hatujapambana? Au unataka mpaka tufanye copy and paste kama wanavyofanya mataifa mengine bila kuangalia hali halisi ya mazingira yetu?...
Takwimu zinaonesha kama wasingechukua hatua walizochukua vifo vingekuwa mara 10 zaidi ya hivyo, hatua walizochukua wamepunguza idadi ya vifo wala sio kumaliza ugonjwa, na sisi kama tungechukua hatua kama hizo idadi ya vifo ingekuwa ndogo sanaMarekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi...
Unamkufuru Mungu, wala huna shukrani. Unaukataa hadharani uponyaji wa Mungu dhidi ya korona kwa Taifa letu. Kwa kufanya hivyo unaiita laana ya corona katika maisha yako nanyumba yako mwenyewe!! Usije kutafuta mchawi utakapoona corona inakutafuna.Hatukuwahi kushinda wimbi lolote ilikuwa ni ghiriba ya shetani tu, tokea Corona iingie haikuwahi kutoka hadi leo hii ililazimishwa na mtu pale alipowaita watendaji wa serikali na kuwapiga stop wasitoe takwimu na kuwatangazia wananchi wafanye maombi baada ya hapo tukatangaziwa Corona imekwisha yaani tulifanywa wajinga au kama watoto wadogo lakini cha ajabu kuna wapumbavu wachache waliamini ule ujinga.
Kama sisi ni mabingwa wa dua na maombi ebu tufanye hivyo ili siku tukiamka tukute mabarabara yote yameshapigwa lami.
Ukweli kuwa bado upo hai ni ushahidi tosha kuwa Mungu alisikia maombi yetu na kutuponya na corona! Hivi wewe ulijikinga na corona kumzidi waziri mkuu wa Uingereza au aliyekuwa Rais wa Marekani?Hatukuwahi kushinda wimbi lolote ilikuwa ni ghiriba ya shetani tu, tokea Corona iingie haikuwahi kutoka hadi leo hii ililazimishwa na mtu pale alipowaita watendaji wa serikali na kuwapiga stop wasitoe takwimu na kuwatangazia wananchi wafanye maombi baada ya hapo tukatangaziwa Corona imekwisha yaani tulifanywa wajinga au kama watoto wadogo lakini cha ajabu kuna wapumbavu wachache waliamini ule ujinga.
Kama sisi ni mabingwa wa dua na maombi ebu tufanye hivyo ili siku tukiamka tukute mabarabara yote yameshapigwa lami.