Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Huna hata aibu.
Takwimu tangu lini unaowatetea wakazipenda?

Halafu usivyokuwa na akili, hujui kwamba hilo unalovimbishia shingo ndilo serikali ingekuwa mbele kabisa kulitimiza ili takwimu ziwepo za kutetea msimamo wake? Wewe hata hujui wajibu wa serikali ni nini?

Ngoja nikuulize tena. Serikali ikihimiza watu wajikinge kwa kuepuka misongamano na kufanya yanayojulikana kusitisha uenezi wa magonjwa wa milipuko, ikifanya hivyo watu hao watakuwa wamepungukiwa na kitu gani?

Unataka takwimu? Hizo zako za kuonyesha kwamba hakuna maambukizi yanaendelea kwa kasi kwenye mikusanyiko hiyo ziko wapi?

Nimekupa fursa nzuri ya kujieleza nilipokupa hoja rahisi uijibu, lakini kwa kuwa kichwani huna kitu unaona bora ujipigie pigie tu kivyako.

Usidhani "tunaandika andika hapa bila kujua tunachoandika, ila tunaowaandikia ili kuwastua serikali iliyotelekeza jukumu lake kwa wananchi na kuwatuma vilaza kama wewe hapa kuja hapa kutwa kupindisha mambo yaliyo wazi..., inasikitisha sana.
 

kwa hiyo wewe hufanyi hilo tendo? mbona hujapata? toa maoni kwa adabu, acha kutukana viongozi wa dini ya wenzako hadharani

wao wametoa takwimu, makanisa mengine hayajatoa, kwanini umefikia tamati kuwa wao wamekufa wengi kuliko wengine
 
Wooooi umeandika nini sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Unaweza kuwa Umeandika sababu unajua kuumba herufi ila hujui unachokiandika😂😂😂

Chukua tahadhari na kumwomba Mungu sana
 
kwa hiyo wewe hufanyi hilo tendo? mbona hujapata? toa maoni kwa adabu, acha kutukana viongozi wa dini ya wenzako hadharani

wao wametoa takwimu, makanisa mengine hayajatoa, kwanini umefikia tamati kuwa wao wamekufa wengi kuliko wengine
Mimi nafanya sana ndo maana sijapata corona.
 
Nonsense kabisa!
 
Nimefuatilia hotuba ya Dk Kitima katibu wa TEC, ni padri na kiongozi wa dini- kasisi.

Analalama kuwa masisita na mapadri wamefariki kwa ugonjwa unaohusiana na Covid 19. Madhara ya ya changamoto za kupumua.

Ni kama Dk Kitima analaumu kuwa serikali haikuchukua hatua hatua stahiki ndio maana masisita na mapadri wamefariki.

Je, Tec haikujua kuwa mapadri na masisita wana muingilianano na mapadri,masisita,na waumini wenzao wa kimataifa? Mfano Italia kwa Papa ni moja ya nchi zilizoathirika kikubwa ba Covid 19. Je, kanisa katoliki halikupaswa kuchuku tahadhali kuepuka wageni wa nje?

Mapdri na masisita wanaokutana na wageni toka ndani na nje ya nchi walotegemea serikali iwalinde? Mungu sio hirizi.

Idugunde of Igunga
 
Wooooi umeandika nini sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Unaweza kuwa Umeandika sababu unajua kuumba herufi ila hujui unachokiandika😂😂😂

Chukua tahadhari na kumwomba Mungu sana
Wewe hata Mungu humjui kwa unayotetea humu JF. IInaonekana 'mungu' amekuwa ni huyo unayepoteza muda mwingi hapa kumtetea kwa mambo ya aibu kabisa.

Ngoja niachane na wewe, lakini najua kuna kitu kimekuumiza ndani kwa ndani baada ya majibishano haya mafupi.

Kuna siku baada ya yote haya, dhamira yako itakusuta kwa kuwasaliti waTanzania wenzako kwenye jambo la uhai au kifo.
 
Huo anaofanya Kitime siyo wajibu wake ni wajibu wa viongozi wa Nchi. Yeye atangaze kanisani lock down watu wasiende makanisani tuone ataishije bila sadaka.
Mapadre walivyo wazinzi akiwemo Rwaichi na Kitime mwenyewe ukimwi utawaachaje? Of course hiyo huwa inatokea kwenye mwaka fulani familia wanakufa watu wengi kwa kuongizana na hiyo ni mipango ya Mungu wala haiwezi kuwa ya Rwaichi au Kitime. Wenyewe hawa wanasumbuliwa na siasa. Rwaichi ma Shoo ni siasa za ukanda na hata Kitime yumo mumo humo. Wapuuzeni. Jitahadharisheni tu na kujistimisha Mungu ndiyo muamuzi wa mwisho.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana Mkuu. Halafu bado Kuna watu wanafanya masihara. Inauma!
Nani kakuambia ukiisha kuwa padre haufi?(Ayubu 14:1) Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi sio nyingi)acha kusingizia corona siku zake za kuishi zimefika ameondoka.Mbona yeye Kitima hajafa na corona!wakati anaongea hana hata baracoa?
 
Jamaa wamejihesabu wenyewe tu vp waumini Wao taarifa Hawana?
 
Akili Kama hizi zimebaki Lumumba
 
Mabibi na mabwana kuteleza si kuanguka.

Siyo siri kuwa kuna tulipo teleza. Hata hivyo tulipo tunayo nafasi bado ya kusimama kama taifa.

Katika clip hii mengi yako wazi:

Your browser is not able to display this video.


Angalia taarifa tata zinavyowachanganya watu wa kawaida. Katika hili mitaa ya tandika inahusika kuonyesha hali halisi.

Bandugu, mshindi katika hili si baina yetu bali dhidi ya Corona.

Wapongezwe hawa:

1. Prof. Mwandosya
2. Prof. Bisanda
3. Fr. Dr. Kitima

Kwa ujasiri wao uliotukuka.

Aluta continua!

Ninawasilisha.
 
Ngoja kwanza Rais yuko wapi?

Tunajua Raila ana matatizo ya kupumua.

Hata sala kwa Mungu zinakuwa very focused.

Kama kuna anayeficha lolote huo utakuwa ni ule mwendelezo wa ujuha unaoakisiwa vilivyo na hao mabwana wa hapi tandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…