Kwa sababu ya kuwa wakwelindiyo maana unajua hiyo nusu milioni. Kwwtu hapa, tumeathirika zaidi kupita nchi zote za Africa Mashariki, lakini hakuna mwenye idadi rasmi! Kwa sababu yumeamua kuishi kimbumbumbu.Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?