Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?
Kwa sababu ya kuwa wakwelindiyo maana unajua hiyo nusu milioni. Kwwtu hapa, tumeathirika zaidi kupita nchi zote za Africa Mashariki, lakini hakuna mwenye idadi rasmi! Kwa sababu yumeamua kuishi kimbumbumbu.
 
Sasa hili povu lote mkuu ili nini?

Kwa maana hiyo nchi zote basi zinapaswa kulaumu viongozi wao maana kila nchi wamekufa kwa maelfu,!

Hivi sisi na Kenya na Uganda tuna tofauti gani?
Unaona usivyotaka kutulia na kujirudi? Hapo povu nililotoa liko wapi?

Hizo "nchi zote", unaweza kunitajia mfano wa moja iliyokana kutokuwepo corona? Hata kama walichelewa kuchukua hatua za kuzuia maambukizi, ni nchi gani iliyokataa moja kwa moja hata kule kupima na kujua maambukizi, na kuchukua tahadhari kwa kuwafahamisha wananchi wao kuchukua tahadhari?

Wewe unaangalia 500, 000 waliokufa Marekani, lakini hutaki kwa maksudi kujua kwamba wao walipima na kuendelea kupambana kuzuia.
Na wala hutaki kuiona namba hiyo kuwa ni tofauti kabisa na Tanzania, kwa vile sisi hatujui kwa vile hatupimi na wala hatutambui wanaokufa kuwa vifo vinatokana na nini; na hata kama shule yako ni ndogo, utalinganisha vipi wingi wa watu wa Marekani na wingi wetu hapa bila kuweka uwiano wa kitakwimu?

Tofauti ya "Sisi na Kenya, na wengine" utaiona muda sio mrefu toka sasa. Vuta subira.
 
Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Pole sana ndugu yenu kwa kuondokewa na Padre wetu.
 
Ka

Aiseee sasa Kama Mungu si hirizi kwa nini mapadre na maaskofu katoliki husisitiza watu kumuomba Mungu wakati yeye si hirizi? au kinga au msaada unaoonekana tele wakati wa Mateso yawe ya Corona au vinginevyo?

kanisa katoliki matapeli waumini wanaenda jumapili kufanya nini kanisani kila dominika wakati Mungu sio kinga yao na si hirizi? mkatoliki shituka .ina maana lengo watoe sadaka tu na kuondoka wakati huyo Mungu mnayesema mpe sadaka hana msaada kwao wala sio kinga yao?

Wakatoliki mnapeliwa .Hili tamko alilotoa ni la kipagani Mungu wetu ni kama hirizi ni kinga yetu mateso yasitupate yawe corona au majanga yeyote .Zaburi inatamka wazi kuwa Mungu wetu ni kimbilio na nguvu na msaafa wetu unaoonekana tele wakati wa mateso.Ni kimbilio letu iwe kwenye corona nk ndiye hirizi yetu.

Kwangu mimi Mungu ndiye hirizi yangu
Neno la Mungu lipo dhahiri kwa wanaolijua. Mungu siyo mganga wa kienyeji anayesema vaa hii hirizi, hutakufa, halafu unakufa.

Mungu ni kweli, na ukiijua hakuna atakayekupotosha. Rais anataka kuwapoteza watu kwa kujiegemeza kwenye dini. Hawa ndio wanaopewa zile ole saba za unafiki.
 
Kumbuka pia population ya Marekani ni zaidi ya watu 332,000,000 (milioni mia tatu thelethini na mbili). Jaribu kuweka uwiano wa waliokufa na population yake, kwa Marekani na kwa Tanzania
Tanzania kwa uhakika tumepoteza watu maelfu kwa corona. Na hakuna ambaye hajawahi kusikia kifo cha mgonjwa wa corona, mtu anayemfahami.

Wanaojua hesabu za uwiano, wanaweza kuwa na makadirio mazuri juu ya waliokufa kwa corona.
 
Tunapotangaza watu wachukue tahadhari kwa sauti ndogo huku hizo tahadhari tukiziponda kwa sauti kubwa ni unafiki.

Zile hatua tulizochukua kipindi Corona imeanza zilisaidia kufanya watu wachukue tahadhari kubwa! Hii handling ya Corona inakwenda kutuvua nguo sasa.
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kumtaka Mungu akulinde huku wewe hufanyi chochote.

Hutaki kufunga mlango, halafu unaamini hakuna jambazi atakayeingia, huo ni ukichaa.

Tuondoe ujinga, tuondoe woga, yaani unaona unapotezwa, halafu inabaki unasema tupotee tu kwa vile kiongozi anataka tupotee. Kuwa Rais haaanishi kuwa sahihi wakati wote, kuwa Rais haimaanishi kuwa na akili na ufahamu kuwazidi raia wote. Tusikubali kuwa mizoga inayoweza kusogezwa na kiumbe chochote kilicho hai.
Anatuambia ''mtangulizeni Mungu mbele'' wakati yeye anatanguliza ma-pikipiki ya polisi mbele!
 
Nikisoma unayoandika Naona moja Kati ya haya mawili
1. Umetoroka Mirembe Hospital
2. Umetoka kunywa gongo Bila kula, kisha ukavuta bangi

Ukapitiliza na kuja JF kutoa pumba zako
Ha ha ha ha nakweli kabisa
 
Mimi ni mkatoriki lakini inafikia wakati tuuseme ukweli. Viongozi hawa wanafanya siasa badala ya dini. Kkama wanaona kuna corona si wafunge makanisa yao? Hakuna watu wazinzi kama mapadre na wengi wanakufa na ukimwi kila uchao.

Namshangaa sana katibu wa baraza la maaskofu anajifanya hamnazo na kuleta maneno ya kichichezi ilihaki anafahamu kabisa anadanganya watu. Hakuna mtu ambaye hatakufa na hakuna ajuae siju wala saa. Kama wanaogopa kifo kwa nini wanafanya uzinifu?

WATUACHE KABISA NA WAENDELEE NA SIASA ZAO. Yule boss wake yeye hana jipya kesi yake ni ya ukabila wala haihitaji kujiuliza maswali mengi maana alitamani mbowe awe Rais. Huyu yeye ni mpuuzi tu na kama ataendelea tutaweka mambo yake na watoto wake alionao mtaani na wengine wanalelewa na baba wasio wa kwao.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ndani ya Basi kila abiria sasa wanaanza kuongea lugha moja ila Dereva kanyoosha goti wala haangalii nyuma sasa Viongozi wa Dini wanaomba kushuka mwisho atabaki Dereva na konda wake na baadhi ya Mashehe wa bakwata wa kwenda kufa nao
Ogopa sana Dereva aliyedhamiria kuingia korongoni na abiria wake.
 
H

Hata kwa kufuata uwiano, kwa kila watu 100,000/= walioathirika ni wengi sana na waliokufa ni wengi sana!!
Acha kudanganya watu na upotoshaji. Mbona mnafanya propaganda za kishamba namna hiyo?

Mnataka kuachive nini? Wewe hujatoa takwimu halafu unajilinganisha na aliyetoa! Hakunaga kitu ya namna hiyo. Mnamdanganya nani? THE OBVIOUS CAN NOT BE PROVED!
 
Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.

Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.

Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
Inasikitisha sana kwa kanisa kutoa kauli kama hii...Hii dini hapa imesimama kama taasisi na wala siyo kuongozi wa kiroho...Kanisa katoliki haliamini katika abortion na wala family planning je hiyo siyo science? Au science inakuwa valid pale ambapo interests zako zimelalia?

Kanisa linashindwa kuelewa ndiyo lililotufikisha hapa baada ya kuwaleta watu wa bara lingine kuchukua ardhi yetu, kuharibu utamaduni wetu, kuleta kila aina ya huzuni na ukoloni ambao leo umeendelea kufumga minyororo....Its just a roman empire in operation...Vueni kanzu vaeni sare za chama acheni kutuvuruga...Yes I said and I repeat...

Kufa kwa kiongozi wa dini kwenye huduma ya kuwaokoa wengine ni ushujaa siyo laana...Mungu na akuhukumu sawa sawa na roho wake wa haki Fr. Kitima...Unaaibisha imani!
 
Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Poleni sana.
Wapate pumziko la milele.
 
Acha kudanganya watu na upotoshaji. Mbona mnafanya propaganda za kishamba namna hiyo?

Mnataka kuachive nini? Wewe hujatoa takwimu halafu unajilinganisha na aliyetoa! Hakunaga kitu ya namna hiyo. Mnamdanganya nani? THE OBVIOUS CAN NOT BE PROVED!
Nendeni roma kuna vatican city ni nchi pia...Mtuachie nchi yetu sisi
 
Hawa ndiyo wale manabii wa uwongo wa siku za mwisho...what are they for?

Kwani nani hakuchukua tahadhari na wao kama walichukua tahadhari na wana uwezo wa kuzuia vifo mbona hao mapadre na ma sister wameondoka chini ya uongozi wao kama kanisa?

I wonder anachotaka huyu kiumbe...mmeshindwa kuilinda tasisi yenu mtaweza kuilinda nchi?....Shame upon your face na Mungu atawatandika kwa bakora zake mpaka mshangaye...
 
Roma kwenyewe walikufa mapadre wangapi? Why do they make a deal inapokuja hapa Tanzania?

Blame game a satanic character...Kanisa linatakiwa kuleta tumaini, upendo na mshikamano siyo kwa kumshambulia mkuu wa nchi hadharani kama hivi? Huyo ni nembo ya taifa letu ni amiri jeshi mkuu...You have to act responsibly!
 
Huyu aliyetoa hii takwimu atawajibika kwa taharuki na hofu inayoonekana kuibuka pasipo sababu yoyote!
Hivi ni kweli kwa miezi miwili kwa Tanzania nzima kwa sababu mbalimbali (unazoweza kufikiria kama ajali, magonjwa nk) ikiwemo changamoto ya upumuaji (na si kila changamoto ya upumuaji ni corona), kufariki kiasi hicho kwa jamii hiyo ni ajabu?
Je kabla ya corona walikuwa hawafi au walikuwa wanakufa wangapi?
Hivi ukiuliza kwa nchi zingine kama Marekani watu wa jamii hiyo (mapadri na masista) kwa miezi miwili wamekufa wangapi?? Kama ukipata hiyo takwimu utamshukuru Sana Mungu kuwa kuihifadhi Tanzania dhidi ya Corona!!
Acha kutisha watu wanaotimiza wajibu wao kwa nchi na kwa Mungu.

Nyinyii ndio mnaostahili kuwajibika kwa maisha yanayopotea ovyo kwa upotoshaji wenu kupitia imani zenu za kishirikina.
 
Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.

Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.

Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
Sijui mnasomaga Biblia ya wapi; Wakati Yesu anazaliwa, mtawala wa wakati huo alipanga kuua watoto wote wenye umri wa miaka chini ya 2, Mungu akamwambia Yusufu akimbie Nazareth to Misri ili kumponya mtoto Yesu na mauaji hayo yaliokua yapo mbioni kutokea, na kweli Yesu alikimbizwa Misri kwa usalama wake huku nyuma watoto wa kiume waliuawa kwa amri ya Herode;

Musa nae alikimbilia uhamishoni Midian kuuponya UHAI wake dhidi ya mfalme wa Misri wa wakati huo, wakati nabii Samuel katumwa kwenda kumpaka mafuta ya ufalme mtoto Daudi, aliuliza kwa Mungu kwa habari ya usalama wake cause ile habari ingejulikana kwa mfalme Sauli (remember huyu Sauli mfalme alipakwa mafuta na huyu huyu Samuel ) Sauli angeweza kumuua; Paul alitolewa kwa njia za panya kuuponya UHAI wake, wapelelezi wale waliotumwa na Musa, walijificha nyumbani kwa KAHABA/changudoa aitwae Rahabu.

Mara zote Biblia haijazuia watu kutumia akili zao when it comes kwenye UHAI, imeandikwa, "usimjaribu Bwana Mungu wako"
 
Sisii
Screenshot_20210303-093811.jpg
 
Huyu aliyetoa hii takwimu atawajibika kwa taharuki na hofu inayoonekana kuibuka pasipo sababu yoyote!
Hivi ni kweli kwa miezi miwili kwa Tanzania nzima kwa sababu mbalimbali (unazoweza kufikiria kama ajali, magonjwa nk) ikiwemo changamoto ya upumuaji (na si kila changamoto ya upumuaji ni corona), kufariki kiasi hicho kwa jamii hiyo ni ajabu?
Je kabla ya corona walikuwa hawafi au walikuwa wanakufa wangapi?
Hivi ukiuliza kwa nchi zingine kama Marekani watu wa jamii hiyo (mapadri na masista) kwa miezi miwili wamekufa wangapi?? Kama ukipata hiyo takwimu utamshukuru Sana Mungu kuwa kuihifadhi Tanzania dhidi ya Corona!!
Kabisa...anastahili kuwajibishwa, this guys are big headed...Untouchable kwakua ni taasisi ya kikoloni....Nchi yetu imepita huko...We arw sovereign country wanapashwa waishi kwakuzingatia sheria na mamlaka ya nchi hii ambayo yote yanaongozwa na amiri jeshi mkuu wetu...
 
Back
Top Bottom