Kanisa Katoliki latoa waraka mpya unaiotwa 'Dignitas Infinita' likipinga Utoaji Mimba, Kubadilisha Jinsia na Upandikizaji wa Mimba

Ni mjinga tu atakaye-buy this non-sense.Ukweli ni huu(copied from Fourtyseven)👇
Muda utakwambia uchafu wote wa vatican..........narudia tena it's just a matter of time. Hivi kwanini maraisi kibao lazma waende vatican? including Watanzania?

Tena wanaenda officially? kuna nini huko vatikani ......vijundi vyote vya kishetani vimeasisiwa vatican i.e JESUITS ILUMINANT FREEMASONS etc.

NB hayo yote uliyoyataja yanapigiwa chapuo na vatikan na ni swala la muda tuu ...sema wakatoliki wengi Shetani amewapumbaza hata hamuwezi kung'amua lipi zuri na lipi baya.



 
Kama wanatakiwa kuomba msaada wa Mungu kwa swala la makasisi na watawa kuwa na ndoa. Je kauli ya kubariki wapenzi wa jinsia moja walishindwa kumuomba Mungu awaongoze kabla ya kutamka hadharani?
Usiwe mpumbavu,kuoa au kuolewa ni chaguo la mtu,kanisa haliwezi kukulazimisha usioe,ila linakupa uchaguzi,either utumikie nafsi yako na uoe,au umtumikie Mungu na uyaache matamanio ya dunia.
Padri au sister anapoingia huko anajua hatakuwa na ndoa.
Au baba yako amezuiliwa kuoa?
 
Kijana upumbavu wa kumuamini muddy na wapumbavu wengine usiulazimishe kwa kila mtu.
Kanisa limeupambania ukristo kwa maelfu ya miaka na kutunza maandiko matakatifu,leo hii unataka tumuamink sheikh wako au mchungaji wako asiyejua hata ukristo umepitia mangapi kufika ulipo.
Kanisa ni moja,hayo ya kwenu ni upumbavu na tamaa za kidunia.
 
Ana contradict manano yake.. Anadai liko biblical ukimdai ushahidi
Anaruka kimanga ati wote hamjui biblia. Inachekesha Sana.
 
Kwa hiki ulicho kurupuka kuandika hapa kinaonyesha nani mpumbavu kati yangu na wewe.

Umesoma kujibu sio kuelewa
Hoja hapo ilikuwa kama wanatakiwa kuomba uongozi wa Mungu kuhusu makasisi na watawa kuoa, walishindwa nini kuomba uongozi wa Mungu kuhusu kubariki mashoga.
 
Ana contract manano yake.. Anadai liko biblical ukimdai ushahidi

Anaruka kimanga ati wote hamjui biblia. Inachekesha Sana.
😂😂 Nikashangaa mpaka hata mimi anajua kuwa siijui Biblia.
Ila post za hapo chini kaeleza ukweli kuwa hakuna andiko hilo.
 
Mashoga wanabarikiwa kwa maana gani?
Jibu hapo kama una akili.
 
Nimependa busara na hekima ya majibu yako. Kiukweli ukiona mtu anasema anaijua biblia inatakiwa uwe naye makini, huenda anamaanisha kukariri mistari ndio kujua biblia maana hata shetani anajua biblia na vitabu vya dini zote ulimwenguni.

Yesu alipokuja duniani alikubalika na wale wa kawaida ila alikataliwa na wanaojua torati ambayo ni kama biblia kwa sasa.

Kikubwa sio kujua biblia, unaweza usijue hata mstari mmoja ila je, unaishi ndani ya neno au umekariri? Hilo ndio la muhimu.

Maana hata mbinguni katika hukumu hatutaulizwa mistari ya biblia bali matendo yetu.
 
kwanza nitafute na kusoma huo walaka.
 
Mbona sioni alipopinga ushoga, nachoona ni kubadili jinsia tu. Usiwasingizie
Read between the lines, and understand each word. Au mpaka uone neno Gay au Shoga

Soma Hapo

"60. The dignity of the body cannot be considered inferior to that of the person as such. The Catechism of the Catholic Church expressly invites us to recognize that “the human body shares in the dignity of ‘the image of God.’”[106] Such a truth deserves to be remembered, especially when it comes to sex change, for humans are inseparably composed of both body and soul. In this, the body serves as the living context in which the interiority of the soul unfolds and manifests itself, as it does also through the network of human relationships. Constituting the person’s being, the soul and the body both participate in the dignity that characterizes every human.[107] Moreover, the body participates in that dignity as it is endowed with personal meanings, particularly in its sexed condition.[108] It is in the body that each person recognizes himself or herself as generated by others, and it is through their bodies that men and women can establish a loving relationship capable of generating other persons. Teaching about the need to respect the natural order of the human person, Pope Francis affirmed that “creation is prior to us and must be received as a gift. At the same time, we are called to protect our humanity, and this means, in the first place, accepting it and respecting it as it was created.”[109] It follows that any sex-change intervention, as a rule, risks threatening the unique dignity the person has received from the moment of conception. This is not to exclude the possibility that a person with genital abnormalities that are already evident at birth or that develop later may choose to receive the assistance of healthcare professionals to resolve these abnormalities. However, in this case, such a medical procedure would not constitute a sex change in the sense intended here."
 
Kijana upumbavu wa kumuamini muddy na wapumbavu wengine usiulazimishe kwa kila mtu.
Pumbavu pekee ndie hujibu hoja kwa kuwatukana wenzake wapumbavu ili kuficha upumbavu wake.
Kanisa limeupambania ukristo kwa maelfu ya miaka na kutunza maandiko matakatifu,leo hii unataka tumuamink sheikh wako au mchungaji wako asiyejua hata ukristo umepitia mangapi kufika ulipo.
Catholic haijawahi upambania ukristo.
Serikali ya Kirumi ilikubali dini ili kuhudumia mahitaji yao. Badala ya dini kuwa kitu kinachofanywa na makuhani , serikali ya Roma iliigeuza kuwa njia ya kudhibiti watu, kuleta umoja wa kitaifa, kutia uhasama wa haki kwa askari, kuhalalisha ongezeko la kodi na kadhalika. Ili kufanya hivyo, walihitaji dini ambayo inaweza kuvutia mtu yeyote na walifanya hivyo kwa kuanzisha catholic.

Kwa kifupi.
Warumi walikuwa wanaitawala Israeli kipindi cha Yesu, na ukristo ulikuwepo na makanisa yalikuwepo. Walishiriki kutaka kumuua kipindi anazaliwa kupitia kwa Herode kwa hofu ya kupoteza utawala wao. Kipindi Yesu anauwawa ni warumi walimuua kwa sheria zao sio za wa Israel. Sheria ya kirumi ilikuwa kutundikwa mtini, na ya kiyahudi ni kupigwa mawe. Baada ya kifo cha Yesu waliendelea kuwasakama wanafunzi wake na kuwatesa na kuwaua. Pamoja na yote hayo bado ukristo ulizidi kusambaa, kipindi hicho warumi wana mipango ya kutawala dunia, wakaona hawa wanaomwamini Yesu ni kikwazo katika utawala wao, kibaya zaidi wanaongezeka. Ndipo wakaja na wazo la kuanzisha kanisa ili waweze kuwa control, wakaiba machapisho ya kale ya kiyahudi na kupeleka kwao, wakayatumia kuandaa Biblia. Wao ndio walichagua vitabu wanavyovitaka na kuacha wasivyovitaka.
Kanisa ni moja,hayo ya kwenu ni upumbavu na tamaa za kidunia.
Tamaa za kidunia ni za catholic ndio maana wanakubali kubariki mashoga ili wasikose sadaka za washirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…