LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
hapana, kama anakuwa hana msimamo unaoleweka ajiuzuru kuliko kuichanganya duniaUnaamini tamko lake lilivuviwa na Roho mtakatifu kama wanavyodai wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana, kama anakuwa hana msimamo unaoleweka ajiuzuru kuliko kuichanganya duniaUnaamini tamko lake lilivuviwa na Roho mtakatifu kama wanavyodai wengine?
Tayari alishalinajisi kanisaSasa naweza kuzungumza na Papa
hapanaUnaamini tamko lake lilivuviwa na Roho mtakatifu kama wanavyodai wengine?
Ni mjinga tu atakaye-buy this non-sense.Ukweli ni huu(copied from Fourtyseven)👇Siku ya leo Kanisa Katoliki kupitia idara ya habari ya Vatican limetoa waraka mpya unaoitwa "Dignitas Infinita" Miongoni mwa mambo yanayozungumziwa kwenye waraka huo Uliosainiwa na Papa ni pamoja na Msimamo wa Kanisa katoliki katika Kupinga Utoaji Mimba, Kubadilisha Jinsia na Upandikizaji wa Mimba.
Katika waraka huo wenye Point 66, umevavaduliwa kama ifuatavyo
USHOGA NA KUBADILI JINSIA
Point ya 60 katika Waraka huu inapinga hali ya ushoga au kubadili jinsi. Kanisa likisisitiza mtu kuheshimu jinsi alivyoumbwa tangu anazaliwa, hivyo kuheshimu mpangilio wa asili wa mwili wa binadamu tangu anazaliwa. Kanisa linapinga kitendo chochote cha ubadilishaji jinsia kinyume na asili ya mwanadamu ukiachilia mbali wale waliozaliwa wakiwa na shida ya maumbile ambapo Daktari atathibitisha hilo.
KUTOA MIMBA
Point ya 47 inasisitiza kanisa linakataa utoaji mimba, na kwamba ni kinyume cha mapenzi ya MUNGU, na kwa sababu mtoto yeye hana makosa na hawezi kujitetea. Utoaji mimba ni kosa katika miiko ya kanisa
KUPANDIKIZA MIMBA (SURROGACY)
Point ya 48, 49, na 50 Kanisa linakemea kitendo cha kubeba mwanamke kubeba mimba kwa niaba ya mwanamke mwingine au kupandikiza mimba, likisisitiza Mtoto anatakiwa kubebwa katika mfuko wa uzazi wa mama yake na si mtu mwingine.
VITA
Point ya 38 na 39 kanisa linahimiza kuepuka vita, na kupinga vikali vitendo vyote vinavyochochea vita au ubaguzi kwa namna yeyote.
WAHAMIAJI HARAMU (IMMIGRANTS)
Point ya 40 kanisa linasisitiza wahamiaji haramu wasitengwe au kufanyiwa uvunjifu wa utu wao, Kanisa linataka wahamiaji haramu watendewe mema kama watu wengine kwa sababu hawakutaka kuwa katika hali hiyo, hivyo jamii ziwapokee, ziwasaidie na si kuwabagua.
USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU (HUMAN TRAFFICKING)
Point ya 41 na 42 kanisa linasema litaendelea kupambana na vitendo vya kusafirisha binadamu kwa ajili ya kuuza viungo vyao vya mwili, kwa ajili ya kazi za kitumwa, kwa ajili ta kazi za umalaya, kwa ajili ya kuwatumikisha kingono mabinti na vijana wadogo, kwa ajili ya vitendo vya kigaidi na kazi zote za namna hiyo.
UKATILI WA KIJINSIA
Point ya 43 kanisa linapinga ukatili wa aina yoyote wa kijinsia
UKATILI WA WANAWAKE
Point ya 44, 45 na 46 Kanisa linapinga ukatili wa wanawake ikiwemo rushwa ya ngono, kitendo cha kuwatumia wanawake kama chombo cha starehe kuwafurahisha wanaume, vipigo, kuwashurutisha kutoa mimba, bila kusahau kuwafanyia ndoa za mitaala (wake wengi), vitendo hivyo vyote vinapingwa na kanisa
KUSITISHA MAISHA YA MGONJWA, AU KUSAIDIA MTU KUJITOA UHAI
Point ya 51 na 52 kanisa linakataza kitendo cha kukatisha maisha ya mgonjwa kwa namna yoyote au kumsaidia mtu kujitoa uhai. Kanisa linaimiza hata kama mtu ni mahututi kiasi gani au hawezi kupona basi ni vyema tumfariji mpaka pale umauti wake utakapomfika na si kutoa uhai wake kwa namna yoyote hata kama ni kwa ridhaa yake.
UBAGUZI WA WALEMAVU
Point ya 53 na 54 Kanisa linapinga vitendo vya ubaguzi na kuwatenga walemavu.
VURUGU MITANDAONI YA KIDIGITALI
Point ya 61 na 62 kanisa linakumbusha kutumia mitandao katika njia nzuri, na sio kutumia kuumiza wengine. Kanisa linasema kazi ya Teknolojia ya kidigitali ni kumsaidia binadamu na si kumdhuru.
SOMA WARAKA WOTE KUPITIA HAPA CHINI: Declaration of the Dicastery for the Doctrine of the Faith “Dignitas Infinita” on Human Dignity
Usiwe mpumbavu,kuoa au kuolewa ni chaguo la mtu,kanisa haliwezi kukulazimisha usioe,ila linakupa uchaguzi,either utumikie nafsi yako na uoe,au umtumikie Mungu na uyaache matamanio ya dunia.Kama wanatakiwa kuomba msaada wa Mungu kwa swala la makasisi na watawa kuwa na ndoa. Je kauli ya kubariki wapenzi wa jinsia moja walishindwa kumuomba Mungu awaongoze kabla ya kutamka hadharani?
Kijana upumbavu wa kumuamini muddy na wapumbavu wengine usiulazimishe kwa kila mtu.Ni mjinga tu atakaye-buy this non-sense.Ukweli ni huu(copied from Fourtyseven)👇
Muda utakwambia uchafu wote wa vatican..........narudia tena it's just a matter of time. Hivi kwanini maraisi kibao lazma waende vatican? including Watanzania?
Tena wanaenda officially? kuna nini huko vatikani ......vijundi vyote vya kishetani vimeasisiwa vatican i.e JESUITS ILUMINANT FREEMASONS etc.
NB hayo yote uliyoyataja yanapigiwa chapuo na vatikan na ni swala la muda tuu ...sema wakatoliki wengi Shetani amewapumbaza hata hamuwezi kung'amua lipi zuri na lipi baya.
![]()
Anaruka kimanga ati wote hamjui biblia. Inachekesha Sana.With due respect.
Naifahamu biblia nje ndani. I'm a theologian for 20 yrs now
Wewe umesema agizo liko biblically, nimetaka andiko unasema si mimi wala wewe tuanoijua bilbia. Nakuhakikishia wewe ndie hujui Biblia.
Mimi sijawahi fungwa na dini, nimesoma kuhusu ukristo, uislam, butha, uyahudi nk.
Nakuhakikishia tena hujui Biblia, usipotoshe watu kwa maneno matupu.
Hawa si catholicHawawezi kuacha
View attachment 2958284
Kwa hiki ulicho kurupuka kuandika hapa kinaonyesha nani mpumbavu kati yangu na wewe.Usiwe mpumbavu,kuoa au kuolewa ni chaguo la mtu,kanisa haliwezi kukulazimisha usioe,ila linakupa uchaguzi,either utumikie nafsi yako na uoe,au umtumikie Mungu na uyaache matamanio ya dunia.
Padri au sister anapoingia huko anajua hatakuwa na ndoa.
Au baba yako amezuiliwa kuoa?
😂😂 Nikashangaa mpaka hata mimi anajua kuwa siijui Biblia.Ana contract manano yake.. Anadai liko biblical ukimdai ushahidi
Anaruka kimanga ati wote hamjui biblia. Inachekesha Sana.
Nenda na mumeo ukabarikiweKawakata ulimi wale walioanzisha matusi wakisema kabarikiwe na papa. Papa hataki ushoga wajue hilo.
kafiri mbombevu, acha ukafiriNenda na mumeo ukabarikiwe
Mashoga wanabarikiwa kwa maana gani?Kwa hiki ulicho kurupuka kuandika hapa kinaonyesha nani mpumbavu kati yangu na wewe.
Umesoma kujibu sio kuelewa
Hoja hapo ilikuwa kama wanatakiwa kuomba uongozi wa Mungu kuhusu makasisi na watawa kuoa, walishindwa nini kuomba uongozi wa Mungu kuhusu kubariki mashoga.
Nimependa busara na hekima ya majibu yako. Kiukweli ukiona mtu anasema anaijua biblia inatakiwa uwe naye makini, huenda anamaanisha kukariri mistari ndio kujua biblia maana hata shetani anajua biblia na vitabu vya dini zote ulimwenguni.Naam naweza kuwa siijui Biblia ndugu yangu, maana Biblia ni kama kioo, kila anaekitazama anajiona yeye, ndio maana kila leo anatokea huyu anatafsiri hivi na yule anatafsiri vile!
Hebu tupe darasa kidogo mkuu kuhusu Biblia ufanuvyo wewe sio sawa na wengine tulivyo jaliwa kufahamu.
Read between the lines, and understand each word. Au mpaka uone neno Gay au ShogaMbona sioni alipopinga ushoga, nachoona ni kubadili jinsia tu. Usiwasingizie
umesoma wap kuwa kanisa n kubwa kuliko papa ?? wakati mtaguso mkuu wa pili wa vatican unasema PAPA NI baba mtakatifu na asiyeweza kukosea na maamuzi yake nj kama ya mungu.....ngoja niutafute mtaguso niutupie hapaKanisa ni kubwa kuliko papa
Pumbavu pekee ndie hujibu hoja kwa kuwatukana wenzake wapumbavu ili kuficha upumbavu wake.Kijana upumbavu wa kumuamini muddy na wapumbavu wengine usiulazimishe kwa kila mtu.
Catholic haijawahi upambania ukristo.Kanisa limeupambania ukristo kwa maelfu ya miaka na kutunza maandiko matakatifu,leo hii unataka tumuamink sheikh wako au mchungaji wako asiyejua hata ukristo umepitia mangapi kufika ulipo.
Tamaa za kidunia ni za catholic ndio maana wanakubali kubariki mashoga ili wasikose sadaka za washirika.Kanisa ni moja,hayo ya kwenu ni upumbavu na tamaa za kidunia.