Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

makasisi wa kikatoliki duniani wanajulukana sana kwa ulawiti gentleman.
Hapa Tz mfano huyo padre mnafiki na mkabila mwenye chuki dhidi ya viongozi wasio wakatoliki ni mwanachadema kindaki ndaki 🐒
Wewe acha kuwahusisha Makasisi wa Katoliki Tanzania na ujinga huo, Kwani huko Uarabuni Ushoga hakuna? Au kwa vile mnajificha kwenye kichaka cha kuwa baadhi ya Wakristo waliokengeuka kuunga mkono ushoga ndo unataka kutuaminisha hapa kuwa Ukristo unaunga mkono ushoga.

Waislam wengi sana manafanya ufiraji ndo maana hata Zanzibar na Mombasa ambako jamii kubwa ni Waislam ndo inaongoza kwa masuala ya ushoga na ujifarji.

Kanisa Katoloki na Wakristo wamekuwa wakipinga sana mambo ya utekaji na uongozi mbaya hata kipindi Magufuli,Hivyo sehemu kubwa wa watu waliopinga uongozi wake ni Wakiristo ndo maana uanaona kama akina Benny Sananne ,Azori Gwanda na Lisu kushambuliwa ni kwa sababu ya kupinga uongozi wa Mwagufuli.

Iweje leo Mama Samia akipingwa mseme wanapinga kwa vile ni Mwislam na hiyo ndo sababau kwa kuwa wanaopinga ni Wakristo wale wale waliompinga JPM.
 
Kwani kujulikana maana yake ni exclusion of others who do similar acts? Matendo yote mabaya hufanywa na binadamu, si specific kwa dini au dhehebu fulani. Hata ushoga, kwa mfano, ni kwa binadamu wote tangu zamani za Sodoma na Gomorrah, lakini out of ignorance unakuta watu wanasema ni tatizo la watu wa Ulaya na Marekani. Ukahaba upo katika jamii zote za watu, lakini unakuta sisi tunawanyooshea kidole watu kutoka Ulaya. Mauaji, kushuka kwa maadili, etc ni mambo yanayotokea katika jamii zote, lakini sisi tunawanyooshea kidole watu wa Ulaya pia. Kwani hapa kwetu watu wa jamii na imani mbalimbali hawako gerezani kwa kosa la kulawiti watoto au hata kulawitiana, au hata Kwa makosa mengine ambayo huwa tunadhani yanafanyika tu Ulaya?
makasisi wa kikatoliki ni vinara wa kupachika mimba vibinti na kutekeleza watoto mitaani. Ni wavunjanji wakubwa wa ndoa za waamini wao na sasa wamechoka habari ya kuhubiri neno la Mungu wamegeukia siasa za chuki, migawanyiko na ukabila kama huyo Kitima wa chadema 🐒
 
Kama ni ukumbi, kanisa katoliki linazo kumbi nyingi na zinatumika kama vitega uchumi, unaweza kukodi mtu yeyote ukalipia gharama zinazohitajika au ukaomba wakakupa bure, unaweza kuwa serikali, chama cha siasa, dini yoyote nk. Pale kurasini makao makuu ya TEC mara ngapi tumeona waislamu, cct na madhehebu mengine wakifanyia mikutano yao, kwa hiyo sishangai kama wamepewa ukumbi wa St. Augustine hall unaomilikiwa na kigango kilichotajwa, shida yangu Bado ni moja, hii Tanzania imetoka wapi ya watu kugeuka wakimbizi ndani ya nchi yao, kanisa la gwajima ni minority group ktk nchi, kwa nini wasilindwe na kupewa haki yao ya kuabudu ktk maeneo yao?, tutafurahia kanisa katoliki kuwapa hifadhi "wakimbizi wa ufufuo na uzima" tutasahau kudai uhuru wao, hawa sio watu wa kuzurura leo hapa kesho pale kutafuta penye amani, wafichame waabudu, wanahitaji kuwa huru, warejee kwao, wakaabudu kwa desturi zao...
Nasubiria Msando aagize wale div.4 wakavunje huo ukumbi wa katoliki😁ili tuone panapovuja.
 
Km ni kweli tuone huyo tapeli aende kubwabwaja na huko. Ht hivyo RC ni wauaji walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, nafikiri ile damu bado inawawasha wanataka damu ya watanzania, wakatoliki hawamjui Mungu wa kweli ni washirikina wa aina yake, hakuna Mungu pale, uliona wapi RC wanamwombea mgonjwa. Km ni ukatili hakuna taasisi katili km RC kuanzia masista, mapadre na maaskofu. Maaskofu wao tena wa makao makuu Vatican wana kashfa ya kuwalawiti vijana wadogo. Mashetani hayi kinachowawasha na kutaka kuleta chochoko ni ubaguzi wa kidini kwa kuwa Rais ni muislam. Serikali isicheke na kima, ashughulikiwe mbwa yyte anayetaka kuhatarisha amani utulivu na umoja wa nchi hii.
Aiseee kwa hayo yote uliyo orodhesha hawa si watu wazuri kabisa, wafungieni
 
Km ni kweli tuone huyo tapeli aende kubwabwaja na huko. Ht hivyo RC ni wauaji walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, nafikiri ile damu bado inawawasha wanataka damu ya watanzania, wakatoliki hawamjui Mungu wa kweli ni washirikina wa aina yake, hakuna Mungu pale, uliona wapi RC wanamwombea mgonjwa. Km ni ukatili hakuna taasisi katili km RC kuanzia masista, mapadre na maaskofu. Maaskofu wao tena wa makao makuu Vatican wana kashfa ya kuwalawiti vijana wadogo. Mashetani hayi kinachowawasha na kutaka kuleta chochoko ni ubaguzi wa kidini kwa kuwa Rais ni muislam. Serikali isicheke na kima, ashughulikiwe mbwa yyte anayetaka kuhatarisha amani utulivu na umoja wa nchi hii.
Kuanzia lini mgonjwa anapona kwa maombi mgonjwa aende hospital akatibiwe
 
Kwani kujulikana maana yake ni exclusion of others who do similar acts? Matendo yote mabaya hufanywa na binadamu, si specific kwa dini au dhehebu fulani. Hata ushoga, kwa mfano, ni kwa binadamu wote tangu zamani za Sodoma na Gomorrah, lakini out of ignorance unakuta watu wanasema ni tatizo la watu wa Ulaya na Marekani. Ukahaba upo katika jamii zote za watu, lakini unakuta sisi tunawanyooshea kidole watu kutoka Ulaya. Mauaji, kushuka kwa maadili, etc ni mambo yanayotokea katika jamii zote, lakini sisi tunawanyooshea kidole watu wa Ulaya pia. Kwani hapa kwetu watu wa jamii na imani mbalimbali hawako gerezani kwa kosa la kulawiti watoto au hata kulawitiana, au hata Kwa makosa mengine ambayo huwa tunadhani yanafanyika tu Ulaya?
Waafrika tumeshafikia hatua ya kulaumu kila kitu eti Wazungu mara watu wa Ulaya, Jiulize watu wanakusanya pesa wanaziiba na kuzifanyia ufisadi na maendeleo hakuna wakiulizwa wanasema Wazungu na blahblah kibao. Tatizo letu tulishapata watu wa kuwasingizia kwa maana hatujataka kutumia akili zetu vizuri, Hata kwenye mikataba mibovu napo analaumiwa Mchina na Mzungu.

Ndo maana unaona saizi ikitokea sisi kwa sisi tukaanza kukosoana anatokea mjinga mmoja anahusisha hoja hizi na mambo ya dini na ujinga ujinga mwingi tu.
 
Wewe acha kuwahusisha Makasisi wa Katoliki Tanzania na ujinga huo, Kwani huko Uarabuni Ushoga hakuna? Au kwa vile mnajificha kwenye kichaka cha kuwa baadhi ya Wakristo waliokengeuka kuunga mkono ushoga ndo unataka kutuaminisha hapa kuwa Ukristo unaunga mkono ushoga.

Waislam wengi sana manafanya ufiraji ndo maana hata Zanzibar na Mombasa ambako jamii kubwa ni Waislam ndo inaongoza kwa masuala ya ushoga na ujifarji.

Kanisa Katoloki na Wakristo wamekuwa wakipinga sana mambo ya utekaji na uongozi mbaya hata kipindi Magufuli,Hivyo sehemu kubwa wa watu waliopinga uongozi wake ni Wakiristo ndo maana uanaona kama akina Benny Sananne ,Azori Gwanda na Lisu kushambuliwa ni kwa sababu ya kupinga uongozi wa Mwagufuli.

Iweje leo Mama Samia akipingwa mseme wanapinga kwa vile ni Mwislam na hiyo ndo sababau kwa kuwa wanaopinga ni Wakristo wale wale waliompinga JPM.
kwanini nizungumzie uarabuni wakati mafuska ndani ya kanisa hilo wamejaa tele humu nchini gentleman?
makasisi wanafungisha ndoa na wao wenyewe wanazivunja kwa kuendekeza uzinzi 🐒
 
Km ni kweli tuone huyo tapeli aende kubwabwaja na huko. Ht hivyo RC ni wauaji walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, nafikiri ile damu bado inawawasha wanataka damu ya watanzania, wakatoliki hawamjui Mungu wa kweli ni washirikina wa aina yake, hakuna Mungu pale, uliona wapi RC wanamwombea mgonjwa. Km ni ukatili hakuna taasisi katili km RC kuanzia masista, mapadre na maaskofu. Maaskofu wao tena wa makao makuu Vatican wana kashfa ya kuwalawiti vijana wadogo. Mashetani hayi kinachowawasha na kutaka kuleta chochoko ni ubaguzi wa kidini kwa kuwa Rais ni muislam. Serikali isicheke na kima, ashughulikiwe mbwa yyte anayetaka kuhatarisha amani utulivu na umoja wa nchi hTqkataka
“Takataka”
 
makasisi wa kikatoliki duniani wanajulukana sana kwa ulawiti gentleman.
Hapa Tz mfano huyo padre mnafiki na mkabila mwenye chuki dhidi ya viongozi wasio wakatoliki ni mwanachadema kindaki ndaki 🐒
Vita imekuwa ya kidini tayari, Mwafrika 😂😂jinga kabisa
 
Vita imekuwa ya kidini tayari, Mwafrika 😂😂jinga kabisa
kuna huyo padre mnafiki mkatoliki wa Chadema anachukia viongozi wa kitaifa wasio wakatoliki balaa
hata pale Chadema tu anaowachukia mno viongozi wasio wa kabila lake, anatamani viongozi wote wa Chadema watoke singida na wawe kabila lake na Mwenyekiti wa Chadema Taifa 🐒
 
Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.

Mshikamano huu umeimarisha umoja wa makanisa ya kikristo ambayo kwa muda mrefu yalikuwa hayaonekani kama kushikamana kutokana na utofauti wa itikadi kwenye madhehebu.


View: https://www.instagram.com/reel/DMnsj_OOVtH/?igsh=bTF4aHMzdHJ5bGt2

Ni maamuzi ya kipumbavu kutoka kwa huyo Paroko wa Mavurunza. Kwanza itikadi ya walokole inapingana sana na imani ya Kanisa Katoliki. Huu ni unajisi wa kanisa wa wazi wazi.

Pili kiongizi wa hili kanisa mwaka 2017 alidhalilisha sana Cardinal Polycap Pengo ambaye alikuwa ndiyo Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam.

Kama Mavurunza RC wamepata kibali cha Askofu kuwakaribisha waumini wa Ufufuo na Uzima, basi wamekiuka maagizo yao yote wanayotukataza kwenda kuhudhuria mahubiri/ miujiza ya walokole. Thus is bad precedence
 
anyway,
there is a priest within catholic church, who is a politician and member of Chadema. the priest is characterized by high voltage of hypocrisy, nepotism and trabalism. The priest is very bitter with country leaders who are not christian especially, the president 🐒
Uliona wapi Padri wa RC anahudhuria mkutano viwanja vya Mwembeyanga?? Huyo ni binamu wa Tundu na anabeba agenda za Tundu
 
kuna huyo padre mnafiki mkatoliki wa Chadema anachukia viongozi wa kitaifa wasio wakatoliki balaa
hata pale Chadema tu anaowachukia mno viongozi wasio wa kabila lake, anatamani viongozi wote wa Chadema watoke singida na wawe kabila lake na Mwenyekiti wa Chadema Taifa 🐒
aisee!
kumbe ushabiki wako kwa nanilii ume base kwenye dini eeeeh!
 
Safi sana! Huu ni muda wa Wakristo kushikamana kama Kanisa moja bila kujali tofauti zetu.Achana na haya Makristo yaliyotekwa na hii roho kumbe ni maadui wa mwili wa Kristo.
Kumbuka Tanzania kwa sasa inaongozwa na roho ya Mpinga Kristo.
Sasa hivi nilikuwa nashirikishwa na Mkristo mmoja,kuna Kikosi cha Maombi ambacho kinashugulika na hii roho,niseme matokeo yanakuja.
 
aisee!
kumbe ushabiki wako kwa nanilii ume base kwenye dini eeeeh!
hataki kabisa kuskia rais au waziri mkuu asiwe mkristo mkatoliki.
Anapendelea watu wa kabila lake kutoka singida ndio wachukue nafasi zote za uongozi wa nchi na hata chadema.
Halafu kwa unafiki wa kiwango cha juu sana anadai hapendi ubaguzi wala upendeleo 🐒🐒
 
Write your reply...unakuta kijiji au kata nzima kuna kanisa moja tu la rc lkn wao wanajifanya wengi mbeya kanisa lenye waumini wengi ni morovian.njombe luthelani songwe luthelan rukwa luthelani iringa othodoksi lutherani ruvuma roman catholic hiyo ndio nyanda za juu kusini. Rc msijifanye mpo wengi
 
Uliona wapi Padri wa RC anahudhuria mkutano viwanja vya Mwembeyanga?? Huyo ni binamu wa Tundu na anabeba agenda za Tundu
kuna siku huyo binamu yake Lisu aliongoza ibada ya wanaume katoliki hapo kanisa la kristu mfalme tabata, sasa kuna mzee moja wa makamu alikua ameketi pembeni yangu, aliniuliza huyu padre anazungumzia nini mbona kama anafanya siasa madhabahuni?, ananikwaza.

Baada ya muda mfupi yule Mzee alinyanyuka kwenye kiti na kuondoka zake nyumbani kabla ya ibada.🐒
 
Back
Top Bottom